Nmechoka na drama za mabinti wa mjini ndio maana nnataka Mwanamke mtu mzima sana umri kuanzia miaka 50 na kuendelea
Uwe upo Dar
Dini mkristo
Uwe mkarimu na Mcheshi
Uwe tayar kupima magonjwa yote...
One month ago, nilidate na binti mmoja hivi..
When we met, alikuwa ndio kamaliza menstrual period yake.. yaani tuseme kamaliza jana halafu leo ndio kachezea mshedede. Na wakati namaliza show...
Hello,
Jamani nyumba za kupanga zina mambo,tujenge kabla ya kuoa au tujitahidi kupanga nyumba zenye wapangaji wenye sifa kama zetu yaani kama umeoa au kuolewa panga nyumba ya watu walioolewa au...
Yaani hii imekaaje?
Unakuta mtu unapania kabisa kua nikimpata huyu naoa kabisa, lakini baada ya kumpata na kupata unachotaka unaona kama yaani hana jipya, na unakua huna hamu naye kabisa, yani...
Mwanamke mmoja amewahi kunambia kwamba ilimchukua muda mrefu kufahamu kwamba wanaume nao hulia.
Akanisimulia kwamba siku moja weekend alitoka nyumbani kuelekea mahali Fulani huku akiwa amemuacha...
Hey ladies, leo nimeona tuambiane ni mwanaume mwenye tabia gani huwezi kuwa naye kwenye mahusiano?
Binafsi siwezi kuwa na mahusiano na mwanaume anayevaa boxer ya kitenge au mvuta sigara [emoji41]
Mwaka 2009 kulitokea tukio lisilo la kawaida baada ya Jambazi mwenye bastola alipovamia duka moja la urembo kwa malengo ya kuiba pesa lakini mwisho wa siku akajikuta anabakwa na mmiliki wa Duka...
"whoever said money can't buy everything was probably broke"
Ukihave enough cheddah, hata ukicheat ukiapologise inakua simple. Ukiwa caught red handed, msupuu ukimtuliza hata na ka iPhone 12 max...
Helloww,
I hope your Christmas went well, mine is amazing!
Katika kufanya fanya tathmini ya maisha kama tufanyavyo mwisho wa mwaka, nikapata mwanga katika jambo moja linalonitatiza sana.
Niwe...
Hivi Hawa mademu bikra waanakuwaga na shida gani jamani.yani unakutan demu Ni ngumu kuanza kushiriki mapenzi kinomaa
Yani ata selewi
Nahisi naenda kuachana na huyu manzi
Msaada
Furaha ya ndoa muwe pamoja, mwanamke awe mfariji kwa Mme na Mme amfurahishe mke!
Pamoja na utandawazi na kusaka maisha chondechonde Usije ukakubali Mme/ mke akae mikoa ya mbali ukitarajia ndoa...
Habari gani wanajamvi.
Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada, leo mida ya saa 10 jioni nikiwa maeneo fulani nimetulia napunga upepo akawa amepita mdada na mkaka wametangulizana basi mie nikawa...
Habari za muda huu wana JamiiForums, jana kuna mtu kaniboa yaani mtu unakutana na demu hufahamiana nae unamsoundisha mara ghafla anatokea mshikaji wako wewe unamfahamu na yule msichana pia...
Mimi ni mtu wa umbo la wastani, niliyebahatika kuishi na mwanamke kijumba na kufanikiwa kupata watoto 2, nimebahatika kujenga nae kibanda na kuwa na kausafiri ka familia.
Kwa visa vya mama huyu...
Naelekea kufanikiwa katika juhudi zangu za kuacha uzinzi na kufanikiwa kubaki njia kuu (alhamdu lillaah)
Lakini kwakuwa dini yangu imeniruhusu kuoa mke zaidi ya mmoja, nikaona si vibaya kuongeza...
Toka nimeoa huu ni mwaka wa pili kasoro miezi 4 ila najikuta mwenye hofu na wasi wasi juu ya Mke wangu na Maisha yake ya nyuma kwa sababu naona mfano kwa wanawake wa ujana wangu wote ambao wamesha...
Nipo na mke wangu na watoto natoka kwangu mkoa fulani x ni mwendo wa kilometa kama 1000 kufika kwa wazazi wetu Dar(you know likizo time now) Sasa kwa vile jana nilikesha(kumalizia viporo vya kazi...
Kiukweli siwapendi wanaume wenye pesa awana utu kabisa wamejaa kiburi sana usaliti ,dharau Awana mapenzi ya dhati kabisa kwakuwa wanajiona wanauwezo wa kupata mwanamke yoyote wamtakaye wamekuwa...
UPENDO NA SIFA ZAKE
1 Wakorintho 13:
3 Tena nikitoa mali zangu zote kuwalisha maskini, tena nikijitoa mwili wangu niungue moto, kama sina upendo, hainifaidii kitu.
4 Upendo huvumilia, hufadhili...
Habari wadau,
Story ipo hivi, nina date na mke wa mtu tumetokea kupendana kweli yaani lakini huyu mwenzangu nikimuomba game amekuwa msumbufu sana na adai ananipenda sana lakini linapokuja suala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.