Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Kwenu mnaotafuta mke wa kuoa! Miaka ya nyuma, kijana hakuwa na kazi kubwa saaana kutafuta mchumba tena kwa vigezo avitakavyo mwenyewe. Kigezo cha uchapa kazi, usomi, hata mwonekano/wajihi...
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Habarini somo husika,unapokuwa unatafuta rafiki wa kuchati au kubadilishana mawazo kibiashara kwanini mnaenda outside of topic after PM. Na mnaotafta wachumba kwanini hamfatilii taratibu za...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Tafadhali ni PM kama hutajali
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habarini wakuu Nina miaka27 nahitaji mrembo mrefu mweupe na awe na akili timamu, tuzae mtoto kuoana itategemea maelewano yetu mi mweusi futi 5.6. Karibuni
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nahtaji Mpenzi wa kike awe mnene.Mimi ni 23 years mrefu futi 6.0 na umbo la wastani kama upo serious ni PM Morogoro town.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi kila siku mnataka tuwatafute ninyi tu,mjiongeze basi na nyie khaaa,kila siki boys tu,sio poa bwana haya anzeni na mimi now.Karibuni PM
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mimi ni mwanaume halisi natafuta mke wa kuoa mwenye kazi yake,nitamheshimu nakutii kwa chochote atakacho nitafanya.Ila akubali kunitafutia kazi kwani sija ajiriwa bado.Nitashukuru sana sina...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Nataka mchumba kama yupo anayetafuta mume wa ndoa njoo hapa.sifa awe mrefu kiasi mweupe kiasi na mwenyeji wa pwani pia awe MUISLAM. Umri kuanzia 28 mpaka 32.sihitaji msomi sana.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wana Jamii forums. Mimi ni mwanaume,naish Dar es salaam nahitaji mke wa kuoa mwenye sifa hizi: Elimu degree ya pili,mrefu kiasi,mnene kiasi,rangi yoyote,anaeishi Tanzania, umri...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Uwe majiyakunde/mweupe, kabila lolote,mkristo, umri 18-23, mkoa wowote ule,mwenye umbo lakupendeza, mimi niko Dar es salaam Kinondoni,ni mweusi 168.60 cm tall. Ni pm nitakupatia mawasiliano yangu.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ama kwa hakika siku hizi za utandawazi kumpata binti atakaye kuwa mke ni kazi sana kama Ngamia kuingia tundu la sindano. Baada ya kufikiri sana nimegundua kuwa ile shule ya wasichana wa Kimasai...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Habari wakuu. Mimi ni mwanaume natafuta mke wa kuoa anayejua nini maana ya kupenda,kwa sasa sina kazi awe tayari kushirikiana nami kutafuta kazi,akiwa na utayari tuishi mume na mke awe na umri...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka 30 nimuajiliwa katika shirika la umma, ninatafuta mchumba mwenye umri kati ya miaka 24 -29, awe anafanya shughuri yoyote iliyo halali ,dini yoyote ...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimetafuta mke wa kuoa sasa mwaka wa pili sasa sijapata wala siwaoni wanawake je wanawake siku hizi wanaishi sayari gan?i msaada anayejua walipo.
1 Reactions
38 Replies
4K Views
Nina miaka 28, jinsia yangu ni mwanaume, elimu yangu degree, ni muajiriwa.... natafuta mchumba popote, napendelea zaidi mweupe, asiwe kibonge , mcha Mungu, aliyetayari ani pm
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu tuna kazi ya kumtafutia rafiki yetu mke aliyeokoka lakini awe mature miaka 35 na kuendelea asiwe na watoto labda mtoto mmoja,ndugu yetu ana 43. Tafadhali pm haraka sana.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani kwema huku, mimi nina miaka 27 na hitaji mchumba ambae baadae atakua mke,nipo Moshi . Aliye tayari ani cheki kwenye whatsap no 0767 353440
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hellow. Natafuta marafiki wa kike wenye interest na kuchat na ambao wako tayari kushare hata mambo serious ya kimaisha ikibidi,tupia namba yako hapa,miaka kuanzia 18-24.
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Waungwana nimeamua kuoa na kuanza maisha ya ndoa,hii tabia ya kusema bado hapana.Ajitokeze tu mwalimu wa sekondari nikamilishe taratibu za kwenda kwao.Umri awe na 23-26. PM ihusike katika hili...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Natafuta rafik/marafiki wa kuchati nao umri 18-22
0 Reactions
0 Replies
723 Views
Back
Top Bottom