Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Umri 18-22 mimi ni kijana umri 24.Anaye hitaji ani PM tufahamiane. Karibuni
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Awe na umri kuanzia miaka 18 mpaka 23
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Looking for a woman. Am 39 years of age now with one kid and lonely. Story zaidi ni inbox.
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Nahitaji mwanamke msichana ambaye tukikaa vyema atakuwa mke wangu.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mimi ni kijana wa umri miaka 25 nina cheti cha form 4,nimepanga chumba Usagara kwa sasa sina ajira nipo nasaidiwa na ndugu zangu nahitaji mke ambae tayari anayo kazi ili tuweze saidiana majukumu...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Mimi ni kijana raia wa tanzania elimu yangu ni degree moja. Naishi Dar es salaam. Natafuta mwanamke wa kuoa mwenye umri kuanzia miaka 20 mpaka 30. Elimu yake angalau form four.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani wadada wa kibongo,kama wewe ni mdada upo ulaya na upo single au married but you have complicated relationship naomba tuwasiliane jamani. Maana na mimi nipo huku kwa muda na nawish kuwa na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi ni mvulana wa miaka 23, nasoma chuo kikuu cha Dar es salaam(UDSM) mwaka wa kwanza nikuchukua degree ya Uhandisi/Engeneering. Natafuta rafiki wa kike wa kuweza kushauriana vitu mbalmbal vya...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
Natafuta mke wa kuoa,mimi naishi Dar es salaam,umri wangu ni miaka 30,mke ni mtakae awe mweupe,awe ameajiajiri,mwenye nidhamu safi,umri wake 25-35. Mimi sina elimu kubwa, ambae ana utayari andike...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natafuta mwanamke Muislam wa kuanza nae uchumba,Mimi ni kijana mwenye umri 22,nafanyakazi serikalini na sina mtoto. Sifa za ninae muhitaji: -Awe Muislam. -Awe ajazaa. -Umri 18-22. -Elimu kuanzia...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Yeyote wa kupeana ushauri, kuchati na kutembeleana if possible nitumie private message umri si tatizo. Maisha kujichanganya na watu katika different place si lazima mtoke sehemu moja
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana jf Kabla hujafikiria kutafuta mwenzi bora hakikisha kuwa wewe ni bora pia kwasababu sikuzote Mungu anakupa unachistahili na sio unachotamani.
4 Reactions
0 Replies
990 Views
Kwa sasa npo mwanza maeneo ya IGOMA,so nahitaji girl friend wakuwanae,kikubwa awe mwaminifu na mwenye sifa zfuatazo:Awe mweupe au maji ya kunde,awe mrefu kiasi,awe mcha mungu,sitojali kiwango cha...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hi people, its my hope all is well with u, im 25 years lady, graduate from Institute of accountancy Arusha, im here to search for matured guy to have relationship with. I would like the man who...
4 Reactions
40 Replies
5K Views
Sifa: Wawe warembo Wawe wanajua angalau Kiswahili, Kiingereza na Kifaransa au Kitaliano Wawe wanajua mahaba Wawe na kucha ndefu Wawe na maziwa yaliyosimama. Walio tayari wanifate PM.
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Ni kijana wa kiume,nina miaka 30,mrefu kidogo sio mfupi,nimeajiriwa nafanya kazi.natafuta mke wa kuoa awe mwarabu,umri kati ya miaka 20-27. naomba niPM kwa aiye siriaous.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nianze na shukrani,asante mwanzilishi wa Jukwaa hili,Mungu akupe maisha marefu. Nimepata mume mwema kwa kupitia hapa jukwaani saivi tunaendelea na process za ndoa.Ushauri kwa wale wanaotafuta...
5 Reactions
45 Replies
4K Views
Habari wana Jamii forums. Mimi ni mwanaume bado sija ajiriwa natafuta rafiki wa kike tutae saidiana kutafuta kazi na kuanza maisha ya ndoa.Atakayekuwa tayari ani Pm naishi Dar es salaam nimepanga...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
jamani jamani niko kwenye upweke usiopimika. natafuta rafiki jinsia ya kiume mwenye uelewa wa maisha na mstaarabu asiwe na majigambo. nahitaji mtu wa kubadiishana naye mawazo ya kimaisha, taaluma...
6 Reactions
139 Replies
10K Views
Back
Top Bottom