Nafuta mwanamke awe mchumba wangu

Nafuta mwanamke awe mchumba wangu

beleza

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2014
Posts
397
Reaction score
144
Nataka mchumba kama yupo anayetafuta mume wa ndoa njoo hapa.sifa awe mrefu kiasi mweupe kiasi na mwenyeji wa pwani pia awe MUISLAM.

Umri kuanzia 28 mpaka 32.sihitaji msomi sana.
 
Maeneo yote niko sawa, ila Elimu nina Master's ya Engineering-hii ikoje labda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom