Nimetafuta mke nimekosa,wanawake mpo?

Nimetafuta mke nimekosa,wanawake mpo?

impongo

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2015
Posts
8,844
Reaction score
7,904
Nimetafuta mke wa kuoa sasa mwaka wa pili sasa sijapata wala siwaoni wanawake je wanawake siku hizi wanaishi sayari gan?i msaada anayejua walipo.
 
Nenda hata nchi nyingine uopoe mtoto urudi nae sio lazima Tanzania...
 
Muombe mungu akupatie mke mwema,

Vumilia kwani hujui ni kwanini paka muda huu hujapata atakae kufaa kimaisha!! Hujui m.mungu ana mpango gani na wewe!!

Wakati m.mungu akipenda utampata yule ambae ni chaguo la moyo wako, keep praying, my brother....

Fungua moyo wako, fanya maandalizi ya moyo kumpokea kwa kusali na kuomba bwanA akupe mke mwema'!


Barikiwa!!
 
Punguza vigezo vyako vinginevyo hata ukitafuta miaka 10 hutaona wa kuoa. Kila la heri katika juhudi zako za kupata mwenzi wa maisha.



Nimetafuta mke wa kuoa sasa mwaka wa pili sasa sijapata wala siwaoni wanawake je wanawake siku hizi wanaishi sayari gan?i msaada anayejua walipo.
 
Last edited by a moderator:
Kiukweli kabisa hakuna wanawake walioumbwa maalumu na kupigwa mihuri kwamba huyu ndio wa kuoa la hasha bali ni miongoni mwa hao unaowachezea na kuwaacha kabla hujalalamika kuwa umekosa wife material jiangalie wewe mwenyewe kwenye ulingo wa mapenzi je rekodi yako inasemaje.

Kwa mfano watu wanawaona room kwako wanawake wanapishana kama clinic au sokoni hakuna mwanamke anayejitambua atakaye thubutu kuwa karibu na wewe kwa tabia yako mbaya kama hiyo.Lazima uhakikishe kuwa kama unamtaka chiriku uhakikishe kuwa umeandaa mazingira ya kumvutia chiriku.

Yaani kama unataka mke lazima na wewe ujiandae kuwa mume kisaikolojia na kiuhalisia ionekane kuwa unataka mke mpaka ukimwambia mtu kuwa unataka kumuoa basi anajua kuwa kweli una maanisha kwa sababu ndoa sio jambo la mchezo.
 
Ondoa fikra za kuwa wote ni malaya, utampata.
 
Nimetafuta mke wa kuoa sasa mwaka wa pili sasa sijapata ......
Huwezi kuwapata, wake za watu sumu!
 
Back
Top Bottom