Nyie wanawake jamani

Nyie wanawake jamani

raamar

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2014
Posts
252
Reaction score
23
Hivi kila siku mnataka tuwatafute ninyi tu,mjiongeze basi na nyie khaaa,kila siki boys tu,sio poa bwana haya anzeni na mimi now.Karibuni PM
 
Makubwa haya, khaa!
Kwani wewe umepotea???
Mara ya mwisho ulivaa nguo gani na ulionekana maeneo gani??????
 
Ukisikia mwanaume suruali ndio wewe, karne hii ya kuomba namba tu umemaliza, webado unalalamika huwapati
 
Ukisikia mwanaume suruali ndio wewe, karne hii ya kuomba namba tu umemaliza, webado unalalamika huwapati

ungejua Gamaha hata usingekulupuka kulopoka
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom