ragin
JF-Expert Member
- Feb 9, 2015
- 7,391
- 9,382
Habarini somo husika,unapokuwa unatafuta rafiki wa kuchati au kubadilishana mawazo kibiashara kwanini mnaenda outside of topic after PM.
Na mnaotafta wachumba kwanini hamfatilii taratibu za uchumba eidha miaka miwil kwa kufahamiana ndo ndoa Mke/mme mnaotafuta, kwanini hamjaonana na mawasiliano yenu ni PM kwa wiki tu alafu unataka mfunge ndoa.