Rafiki wa kike wa kuchati

Rafiki wa kike wa kuchati

muku

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2014
Posts
313
Reaction score
82
Hellow.

Natafuta marafiki wa kike wenye interest na kuchat na ambao wako tayari kushare hata mambo serious ya kimaisha ikibidi,tupia namba yako hapa,miaka kuanzia 18-24.
 
nyota ya mshale ndio ikoje mkuu
 
Ko inakuwa muda wote ni kuwinda tu au sio.Me mbona hiyo nyota naona sina kabisa.
 
Nyota ya punda ikoje nayo?kumbe nyota ziko nying sasa
 
we pita kabisa 25 haitafaaa
 
ulikuwa unataka nianze vp?inalekea we mtalaam sana eeeeh
 
hahahaha ndo hawa, huwa wanatangulia kwenye eneo la appointment ili wamuone mschana mwenyewe, kama m'baya wanakimbia...

Hamna hii inaishia kwenye simu haina hata haja ya appointment.
 
hahahaha ndo hawa, huwa wanatangulia kwenye eneo la appointment ili wamuone mschana mwenyewe, kama m'baya wanakimbia...

Afu unakuta na wenyewe sura zao ka nyuma ya sufulia lenye masiz vihelehele kukimbilia mmu kutangaza wadada wa jf sura mbaya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom