Nataka nizae na wewe

Nataka nizae na wewe

nstarone

Member
Joined
Dec 4, 2014
Posts
46
Reaction score
6
Habarini wakuu

Nina miaka27 nahitaji mrembo mrefu mweupe na awe na akili timamu, tuzae mtoto kuoana itategemea maelewano yetu mi mweusi futi 5.6.

Karibuni
 
Kuoana itategemea? una maanisha nin? na endapo ndoa haitatokea baina yenu mtoto atakuwa wa baba au mama? au mtagawana kila mmoja aondoke na kipande cha mtoto?
 
Kitotoleo kinahitajika hapa hakuna cha ndoa wala maelewano!
 
Waliokuja pm wanataka ndoa! nataka anaejiamini sio kulazimisha ndoa harakaharaka
 
nstarone

Kwanini wewe unalazisha mtoto harakaharaka?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom