Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Natafuta rafiki wa kike wa kubadilishana nae mawazo ya kibiashara.Kwa alie tayari ani pm nipo Dar es salaam.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Sina maneno mengi. Umri: 21-24. Kabila: lolote. Kimo: mref kiasi si sanaa. Status: anayesubiri Ajira. Contact: 0653325710 or 0689744743
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Natafuta mchumba ambaye hana uzazi na ambaye atakuwa tayari tufunge ndoa baada ya kufahamiana,nipo Kanda ya Ziwa kikazi,Umri miaka 30,elimu yangu ni chuo kipato cha wastani. Napenda awe na umri...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Iam Tanzania man aged 30 years, Iam Looking for woman who will marry me.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wana Jamii forums. Natafuta marafiki wa jinsia yeyote. Mimi ninapenda muziki(kusikiliza), kuogelea, kusafiri, kwenda baharini, vollyball, football, movies na kuwa na furaha. Ninafanya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi ni mwanaume wa miaka 27,npo Moshi mjini Msaranga,nahitaji mpenzi mwenye elimu,kabila na Dini yoyote kikubwa mwenye kujiheshimu nakuthamini mapenzi yetu,karibu pia on whatsapp but pia mimi ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari. Natafuta Rafiki Wa Kike Mtu Mzima Wa Kubadilishana Mawazo. Sifa: Awe Hana Mume Au Mume Mwenye Busara Na Hekima Umri Kuanzia Miaka 30-40 Anayejiheshimu. Kwa Aliye Tayari Ani Pm
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Niko mgeni humu wakuu,Hivyo nawakaribisha kuchati nami PM kwa kubadilishanana mawazo, uzoefu nk.Wadada, wamama wote mnakaribishwa.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Natafuta msichana wa kuchat naye,naomba awe GOD fearing,then awe innovative and creative na ege between 18-20.
0 Reactions
1 Replies
989 Views
Wakubwa nahitaji binti wa kuchat nae anipunguzie mawazo kiukweli niko vibaya leo. Ani PM namba zake nitamcheki haraka. Vigezo:Asiwe mke wa mtu,awe binti kuanzia miaka 18 up to 24. Asante.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Natafuta rafik wakuchati nao whatsapp ,0755260629
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari. Natafuta Mdada Mchumba Muislamu, Mtu Mzima wenye Umri Chini Ya Miaka 30, Elimu Kuanzia Diploma, Awe Mwajiriwa Idara Ya Afya, Elimu, Maendeleo Ya Jamii, Mdada Yeyote Ambaye Amekidhi Kigezo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
I'm not "handsome" but i can give my "hand" to"some" one who needs help. Beauty is in heart, not In face.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Mimi ni binti wa miaka 26 elimu yangu ni masters nimeajiliwa serikalini sina mtoto. Nahitaji mume kuanzia miaka 28 - 35. Awe mkristo mwenyehofu na mungu, kabila lolote, rangi yoyote, elimu kuanzia...
1 Reactions
53 Replies
5K Views
Najua sasa una umri 22-25 sasa. Sijali kabila njoo PM. Tuongee zaidi tupange uwe mama wa watoto wangu.
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Wakuu leo nimeonelea nitoe kinachonisibu moyoni. Natafuta mchumba. Sifa: (1) Awe ni msomi mwenye degree na kuendelea. (2) Awe ana nia ya dhati ya kuolewa. (3) Akiwa na kazi yake ya kuajiriwa...
0 Reactions
36 Replies
7K Views
Refer to the heading,Mature women aged 30-35 the bigger the better,no strings attached, lots of fun and sex, time to rejuvenate yourself. Inbox me and we take it from there.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamvi. Mimi ni mwanaume umri wangu ni miaka 25 nimepitia relationship kama tatu hivi ila sijafanikiwa kuwa na mwanamke aliyenipenda kwa dhati labda kwa vile me nimuumini wa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamii forums. Nimekuja hapa mimi ni Musician Gospel napiga piano, drums na gitaa but kwa sasa nimemaliza project yangu nilyoifanya kama ya John lisu hivyo tatizo linakuja kufanya Huduma ya...
0 Reactions
52 Replies
4K Views
Habari zenu wanajamvi. Natafuta binti mzuri kwaajili ya uchumba (siyo mapenzi). Nahitahi awe na sifa zifuatazo: 1. Umri miaka 20 hadi 30. 2.Rangi isiwe nyeusi 3.Urefu wowote. 4.Elimu yeyote...
0 Reactions
48 Replies
6K Views
Back
Top Bottom