Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Msichana au mwanamke anahitajika just kwa kujenga urafiki, kubadilishana mawazo na kimaisha na mambo mengine ya umuhimu umri kuanzia 18 to infinite, unakaribishwa ukivutiwa na post yangu. Karibu pm.
0 Reactions
0 Replies
944 Views
Habari wana Jamii forums. Kwa mara ya kwanza naingia humu kumtafuta ambaye atakuwa wa mtu wa karibu maishani kwangu.Nina miaka 29, ni mkristo,nimeajiriwa serikalini. Nipo Kahama. Nahitaji...
1 Reactions
41 Replies
6K Views
Habari wana jamii forums. Napenda kuwasilisha pendekezo, kwani mimi ni kijana wa miaka isiyozidi 20 peace.Natafuta wa kumuita rafiki wa karibu.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakubwa habarini. Mwanamke anayejitambua ambaye amesharidhika na anasa za dunia ambaye yupo tayari kuishi kwa hofu ya mungu anahitajika. Elimu siyo kigezo kwa kuwa hata waliotuzaa hawakutumia...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
nahitaji msichana wa kuoa ambae ni HIV +ve umri wangu 34 yr mtumishi wa umma awe mkristo au muslim alietayari kubadili dini. alietayari anipm pls.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Elimu yangu ADA kaz nipo halmashaur ya wilaya hapa tz age 30 Dini muislam
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari. Natafuta msichana mke muislamu mwenye umri kati ya miaka 22-30. Kwa aliye serious ani Pm.
0 Reactions
18 Replies
1K Views
A Serious Lady, Willing To Chat May Send Me Her Contact Through Private Messege
0 Reactions
0 Replies
731 Views
Natafuta msichana aliye tayari kutunzwa. Mimi ni mtoto wa kigogo hapa nchini. kwa sasa nafanya biashara pia mbunge mtarajiwa. Naishi Oysterbay kazi yangu ni kuwachukua warembo wakali hasa wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mambo vipi girls. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 naishi Dar es salaam, natafuta rafiki wa kike aliye Dar es salaam kwa aliye tayari anitafute kupitia. Namba 0683076985.
0 Reactions
0 Replies
944 Views
Napenda niwe karibu kimawasiliano sana na mwanamke, umri 18-25. Sijali elimu kikubwa awe mwenye heshima.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naitwa fikiri niko Dodoma,24yrs natafuta mwanamke mwenye mapenzi ya kweli. Najua kumridhisha vyema mwanamke. Sifa, hata kama umezaa,au una umri kunizidi. Au hata kama hauko vizuri kiuchumi wala...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa mwanamke aliye tayari tuwasiliane, umri uwe 27-32, uwe unaishi Dar es salaam au morogoro, Ukiwa mweusi mnene itakuwa poa zaidi.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nawependa nyote asanten.
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Nina miaka 32 male,nimeajiriwa,rangi-maji ya kunde,mrefu kiasi 156cm,elimu ya chuo kikuu,mwenyeji wa Simiyu na ni mkristo. Natafuta mke mwema,mkristo wa kweli,mrefu,mweupe au chocolate colour...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
mim ni kijana wa miaka 26, mjasiriamali natafuta mchumba umri (18-21), Kwa aliye tayari aniPM,,,SIBAGUI_Dini au kabila ila awe na heshima pia mapenzi ya dhati
0 Reactions
0 Replies
656 Views
Nahitaji mume mwenye uhitaji wa mwanamke. Awe mkristu mcha Mungu, awe mchapa kaza(kazi halali). Awe tayari kupima UKIMWI, awe tayari kuwa baba wa familiaa. Pm ni kwa mwenye uhitaji tu!
2 Reactions
62 Replies
7K Views
Naitwa Annie,23,mnene,maji ya kunde,si mrefu wala mfupi sana,elimu yangu kdato cha 6,mkristo-lutheran.Natafuta mchumba umri 27-35 ambaye yuko serious na maisha,awe mrefu,sio mwembamba...
0 Reactions
215 Replies
19K Views
Umri wangu 30yrs, mfanyakazi, mkristo Roman Catholic, natafuta rafiki wa kike mwenye sifa zifuatazo: - Umri 25 - 27. - Elimu diploma - digrii. - Asiwe mchaga, mhehe au mnyakyusa. - Awe mkristo. -...
0 Reactions
0 Replies
613 Views
Naomba kutangaza kuwa tuna nafasi chache zimebaki kwa wadada wa Moshi/Arusha umri kuanzia miaka 29 to 40 ambao wanajiona wapo wapweke kipindi hiki. Masharti ni marahisi tu: 1.Awe ni mdada/mama...
0 Reactions
2 Replies
708 Views
Back
Top Bottom