Mke mature aliyeokoka anahitajika

Mke mature aliyeokoka anahitajika

Delegate

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2012
Posts
331
Reaction score
203
Wakuu tuna kazi ya kumtafutia rafiki yetu mke aliyeokoka lakini awe mature miaka 35 na kuendelea asiwe na watoto labda mtoto mmoja,ndugu yetu ana 43.

Tafadhali pm haraka sana.
 
Moderator njoo mfute huu upuuzi......mtu akiokoka anajitambua sio looser kama unavyochukulia wewe!
 
Last edited by a moderator:
Nimepoteza namba za mwnamke wangu wa utoto ningekupa mala ya mwisho amehitimu ualimu pale Chang'ombe ni mzuri sana ana 35 years na ni mrefu mweupe i think atakufaa
Ngoja nitafute contact zake
 
Huyo atafutiwaye haingilik akilin! Nyie madalali au? Amekula ujana na Miaka hyo hana mtoto hata wakusngzwa? Au anataka wakumlea uzeen.
 
akaunti yake benki inasoma ngapi??
 
Kwani ye hajui kusoma na kuandika wala kuongea? Acha kihere here
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom