Nahitaji mchumba wa kike

Nahitaji mchumba wa kike

mreno meela

Member
Joined
Feb 10, 2015
Posts
37
Reaction score
5
Jamani kwema huku, mimi nina miaka 27 na hitaji mchumba ambae baadae atakua mke,nipo Moshi .

Aliye tayari ani cheki kwenye whatsap no 0767 353440
 
Ha ha weka Cv na copy za original certificates ili wadada wakuone.. na kwasasa unaingiza kiasi gani cha pesa. Either una nyumba ya aina gani na gari la aina gani, au unakiwanja au shamba..
 
Nimecheka sana! Eti weka CV na copy za original certificates!
 
Back
Top Bottom