Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Habari JF Members, Mimi ni mama wa mtoto mmoja nahitaji mwenza aliye serious. Mwanaume ninayemuhitaji awe na umri kuanzia miaka 34-45. Awe tayari kuwa baba wa mtoto niliyenaye, awe na upendo wa...
12 Reactions
201 Replies
17K Views
Wife anahitajika
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Umri wangu nini miaka 40. Elimu:chuo. Anatafutwa mke Umri kuanzia 30-40. Mwenye chini ya Umri huo asitume maombi. Sitaki kuwa na mwanamke tegemezi. Awe na kipato kisichopungua 3m kwa mwezi...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Nataka kuowa mwanamke Bikira wa miaka 20 . Umri wangu ni miaka 45 , Muislamu graduated from applied mathematics dep. nafanya kazi nabiashara.
0 Reactions
14 Replies
1K Views
kigezo: awe mtu mzima kuanzia kuanzia miaka 26+ awe dar.. mimi nna miaka 24, mrefu kdgo maji ya kunde AWE MPENZI MPENZI WANGU ASANTE
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Nimekua single kwa muda mrefu nimechoka naitaji kupata mwenza anaejielewa Mi ni ke nahitaji mwanaume kwanza aishi Kanda ya ziwa nimesema hivyo sababu mimi naishi Kanda ya ziwa. Ni mrefu kiasi pia...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Mimi ni kiziwi Natafuta mwanamke wa kuishi nae. Awe mwislam au alidhie kubadili dini, awe na miaka ,18-32 alive tayari atume SMS tu. 0757738384
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu Ni kijana wa miaka 24 anamtafuta that one lady,my queen,la'azizi kitulizo cha moyo wangu.baada ya kukaa mda mrefu bila mahusiano yoyote kutokana na maswahibu mbalimbali ya...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Ndugu wana JF, Natafuta mke mwenye moyo wa kumpenda Yesu si kwa kuigiza, ili aje anilelee watoto vizuri .maana ktk malezi, mama ndo kilakitu kwakweli. Dondoo: Nina miaka 30, ni mtumishi wa umma...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari wana jamvi Naona imefika wakati wa kutafuta mwenzi wa maisha ila Kigezo kikubwa ni awe Mwalimu hasa Sayansi na Hisabati.. Kipaumbele cha serikali sasa ni Sayansi na Hisabati.. Sitaki...
1 Reactions
85 Replies
7K Views
Wana JF, mimi ni mwanadada na leo nimeona nijitoe muhanga kabisa maana ninahitaji mume/mchumba. Niko tayari kupokea kukosolewa ila kwa yule aliyeko kwenye shinda kama yangu tafadhali ni PM. Mimi...
4 Reactions
148 Replies
18K Views
Anatafutwa mchumba anaeishi na virus vya ukimwi.alie series na mwenye hofu ya mungu.BINTI anaetafuta mchumba ana umri wa miaka 24.kwa alie na utayari aje inbox kwa maelezo zaidi
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Hellow, Mimi ni mdada 26 yrs, elimu yangu ni degree na nimeajiriwa, nahitaji mwanaume ambaye naweza kuanzisha mahusiano na tukafika somewhere, awe na umri 29-34, awe anajielewa, mkristo, elimu...
10 Reactions
100 Replies
9K Views
Sifa za mwanaume: -Awe mkristo Umri kuanzia 29-35 Awe na kipato chake Mwenye mapenzi ya dhati Sifa zangu Mimi ni mkristo Nina miaka 27 Rangi yangu ni black(beauty) Nimeajiriwa...
17 Reactions
153 Replies
21K Views
Mimi ni msichana mwenye umri wa Miaka 25. Nimeajiriwa na npo Dar. Natafuta mwanaume aliye serious kuwa na mimi. Vigezo: Awe muislam Mkazi wa Dar. Aliyejiajiri or aliyeajiriwa. Umri 27_30. Kabila...
14 Reactions
59 Replies
10K Views
Nina miaka 28, Mkritu, Sina kazi, Elimu yangu form 4, Natafuta mchumba awe mkritu, Atakaeweza kunitunza nami nimtunze, Miaka 30-35. Kama uko tayari ni pm.
3 Reactions
67 Replies
7K Views
Sawa na kichwa cha habari hapo juu. Mimi ni mmama mtu mzima (40-50) natafuta mbaba mtu mzima asiye na mke (aliyeachika au kufiwa) tujadili tuone kama tunaweza kuyasongesha. Awe kuanzia miaka...
1 Reactions
31 Replies
7K Views
Mimi ni msichana wa miaka 25, mrefu, mweupe, mkristo, sina mtoto ni degree holder na kwa sasa nimeajiriwa, natafuta rafiki wa kiume ambaye baadae tunaweza kuwa mume/mke kama itafaa. vigezi vyangu...
13 Reactions
204 Replies
21K Views
Mimi ni mdada mwenye miaka 31, Mkristo, na nimwajiriwa. Elimu yangu ni shahada. Nahitaji mwanaume ambaye yupo tayari kuanzisha familia, umri kuanzia 31 kwenda juu, njoo pm.
11 Reactions
51 Replies
6K Views
Back
Top Bottom