Na ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu hiyo hapo chini ni moja ya thread zako za nyuma
Natafuta kazi, nina Shahada ya Sheria
Kwani kazi umtunza mtu??[emoji15]Huna kazi utamtunzaje?
By the way kuwa makini humu,
Kuna wanaume wanajidai wanawake na wanawake wanajidai wanaume,
So never take JF serious.
Nina miaka 28
mkritu..sina kazi
elimu yangu form 4
natafuta mchumba awe mkritu... atakaeweza kunitunza Nami nimtunze...miaka 30-35...
Kama uko tayari ni pm...
Kwahiyo unategemea mapenzi pekee ndo yakutunze???Kwani kazi umtunza mtu??[emoji15]
Mwanangu wewe jembe, una uwezo wakuokoa washigajiNa ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu hiyo hapo chini ni moja ya thread zako za nyuma
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Natafuta kazi, nina Shahada ya Sheria
Mleta mada acha aendelee na uongo wake maana alishatoa tangazo la kazi la sheria.Kwahiyo unategemea mapenzi pekee ndo yakutunze???
By the way usiniquote tena mana mleta mada ni mwongo wa kutupwa anataka kudanganya watu humu
au ndo.wwHuna kazi utamtunzaje?
By the way kuwa makini humu,
Kuna wanaume wanajidai wanawake na wanawake wanajidai wanaume,
So never take JF serious.
atakuwa jambazi la.kikeNa ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu hiyo hapo chini ni moja ya thread zako za nyuma
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Natafuta kazi, nina Shahada ya Sheria
Huyu mleta uzi kasahau wabongo hatupendagi ujinga hasa google wakiwa kazini.Wewe taperi.
tar.17.11.2015 uliweka thread ukiomba kazi ukisema una degree ya sheria na law school of Tanzania.
sasa kwa sasa unasema umemaliza kidato cha NNE,Mimi sikuwezi kwa kweli ,.
Unadhani humu wote ni ******.
washigaji?washikaji? ..nmekupata mkuuMwanangu wewe jembe, una uwezo wakuokoa washigaji