Nimekua single kwa muda mrefu nimechoka naitaji kupata mwenza anaejielewa
Mi ni ke nahitaji mwanaume kwanza aishi Kanda ya ziwa nimesema hivyo sababu mimi naishi Kanda ya ziwa.
Ni mrefu kiasi pia mweupe
Ni msukuma
Mwanaume ninaemuhitaji awe na miaka kati ya 31-42.