Anatafutwa mchumba anaeishi na virus vya UKIMWI

sandramalando

Member
Oct 25, 2016
37
16
Anatafutwa mchumba anaeishi na virus vya ukimwi.alie series na mwenye hofu ya mungu.BINTI anaetafuta mchumba ana umri wa miaka 24.kwa alie na utayari aje inbox kwa maelezo zaidi
 
Inavyoonyesha ni kama Mtafuta mchumba anaishi na virusi, au la unisahihishe.

Me naona kama ungeeleza tu kama yeye anaishi na virusi hayo ya upande wa pili uwaachie wananzengo....sio lazima atakayemridhia naye awe anaishi na VVU....tangazo lako linabagua.
 
Anatafutwa mchumba anaeishi na virus vya ukimwi.alie series na mwenye hofu ya mungu.BINTI anaetafuta mchumba ana umri wa miaka 24.kwa alie na utayari aje inbox kwa maelezo zaidi
Sahivi hao watu wamekuwa adimu kidogo maana hela za kuhonga ziko wapi
 
Soma uelewa, nimeandika hao watu siku hizi wamekuwa adimu kwa kuwa maambukizi yamepungua kqa kiasi chake kwa maana hela za kuhonga bar hazipo
Nimeamini hakuna jambo baya lisilo na faida....Kumbe hata ukata una faida zake kwa upande mwingine! Basi acha tuendelee kusomeshwa namba. Hii inanikumbusha positive economic importance of malaria.
 
Nimeamini hakuna jambo baya lisilo na faida....Kumbe hata ukata una faida zake kwa upande mwingine! Basi acha tuendelee kusomeshwa namba. Hii inanikumbusha positive economic importance of malaria.
Ni ngumu sana kwa kila mtu kuelewa, ni wachache sana wenye kufikiri na wewe ni miongoni mwa wachache critical think , chukua like.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom