Camp Gilgal
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,453
- 4,594
.
Nakupongeza kwakuwa muwazi..naamimi utapata nakuombea ndani ya JF kuna mabinti wengi wanaojitambua na wanaokidhi vigezo vya kuwa mke boraSikuwahi kudhani kama nitakuja huku kutafuta mke ... Sina uhakika kama ni njia bora. LAKINI maandiko yanasema,
"APATAYE mke apata kitu chema; Naye ajipatia kibali kwa Bwana." - Mithali 18:22
Pamoja na UHUSIKA wa Mungu kutupatia wenza, haimaanishi tukae tu ... Kuna hatua tunapaswa kuichukua, ya kutafuta na kupata.
Nimejitokeza hapa kuitumia platform hii miongoni mwa nyingi nikitafuta binti ambaye akipata kibali cha Mungu awe mke baadae. Sihitaji kueleza zaidi hapo..!
Mimi ni kijana, msomi kiasi, NIMEOKOKA, mrefu, mwembamba niko kada mojawapo ya afya, nimeajiriwa & naishi Dar.
Sifa za binti nimtafutaye; Awe MKRISTO (Amemkiri na kumpokea Yesu), asiwe mfupi sana (rejea mimi ni mrefu kiasi) wala mwembamba sana, awe na miaka isiyozidi 26, awe msomi na anayejishughulisha, awe na mrembo kwa asili.
Kwa maelezo zaidi ani PM.
"Hatua za mtu zaimarishwa na BWANA..!"