Mbaba mtu mzima anatafutwa

sayme

Member
Apr 11, 2016
84
63
Sawa na kichwa cha habari hapo juu.

Mimi ni mmama mtu mzima (40-50) natafuta mbaba mtu mzima asiye na mke (aliyeachika au kufiwa) tujadili tuone kama tunaweza kuyasongesha.

Awe kuanzia miaka 50 na kuendelea na asiwe marioo. Najua wapo wengi tu hapa wenye sifa.

Nina shughuli za kawaida sana za kiuchumi, lakini nina afya njema pia.
 
Wadau, sijakata tama maana hatukuumbiwa kuishi alone, na sababu ya kukomaa na maisha peke yako nayo haipo. Maisha ya ku-share ni mazuri, na ninajua wapo wenye hitaji kama langu. Kukutana ni popote, Pendelea kuwa mkweli, pendelea kuwa muaminifu. Baraka tele kwako.
 
Wala asikukatishe MTU tamaa hapa ipo siku utapata hitaji la moyo wako Dada yangu usjali nakuombea dua umpate shemej yety
 
Hebu niambie ujana wakonuliula na nani mpaka sasa utafute vibabu vyenye kusukari
 
Wadau, sijakata tama maana hatukuumbiwa kuishi alone, na sababu ya kukomaa na maisha peke yako nayo haipo. Maisha ya ku-share ni mazuri, na ninajua wapo wenye hitaji kama langu. Kukutana ni popote, Pendelea kuwa mkweli, pendelea kuwa muaminifu. Baraka tele kwako.
Haya maneno ulitakiwa uyaseme miaka 30 nyuma

Samahani kwa kuwa mkweli
 
Hahah! nimefurah nakutakia kila la kher katika safar yako! kwa jf umri huo hautapata sample kubwa coz wengi sio wa kusociliaze katika mitandao kama jamvin humu! Anyway let see ila pia usije ukawa kama unatafuta Mtaji kupitia mafao ya wazee hawa!
 
Back
Top Bottom