Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Mimi nahitaji mwanamke aliyeko serious kwa ajili ya kuoa, elimu yangu ni degree, umri ni 27yrs. Sifa za mwanamke ninayemuhitaji Awe muislam Awe na elimu kuanzia form four Awe na umri kuanzia...
0 Reactions
0 Replies
622 Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 naelekea 27, kabila msukuma, dini mkiristo, elimu ya kawaida, kazi mjasiriamali. Makazi kwa sasa niko kahama ila soon nitakuwa Dar. Mwanamke ninayemhitaji...
0 Reactions
5 Replies
975 Views
Wanawake ukweli ni kwamba hakuna mwanaume anayetaka kuwa na Six Packs ili a date na mwanamke mmoja tu.. Ukiona mwanaume ana Six Packs maana yake anataka kuvutia wanawake wengi.. Ungejua Kazi...
3 Reactions
21 Replies
4K Views
nahitaji girlfriend kuanzia 17yrs-20yrs nipate through my phone no:
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wajameni mimi huyu mtoto jinsi siku zinavyozidi kwenda ndio nazidi kumuwaza na ku-imagine vitu mbali mbali sijui nitampataje. Pls!! usije dnt bring polits and hate posts in this thread lets enjoy...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Ni maisha niliyochagua, nataka niishi hivyoo. Baada ya msichana wangu kugoma kuzaa bila kuoana, sasa nimeamua kuachana na suala linaloitwa ndoa. Ni Mkataba wa miaka 3. Nataka mwanamke wa kuzaa...
12 Reactions
142 Replies
11K Views
Mimi ni kijana wa miaka 30 nimeajilriwa natafuta msichana wa kuoa anayejielewa awe na miaka 20-28 awe na shughuli inayomwingizia kipato aliye tayari tuwasiliane pm
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Natafuta mume ambae yuko serious ani pm Nina 42 nina watoto mume wangu amefariki miaka 5 iliyopita Nimejiajiri, najiona mpweke sina kwa sasa nahitaji mwenza Mkristu na anaemuogopa Mungu Ila...
12 Reactions
142 Replies
13K Views
Naitwa john Rusaku Nina miaka 27, Napenda sana maisha ya ndoa,mwenyezi mungu alinijalia nikapata kazi serikalini,ila wanawake wote walionipenda walikuja wakiwa kimasilahi maana...
0 Reactions
3 Replies
916 Views
Christian girl age U24 to marry, regardless tribal, race, height, and location but slim and committed. don't PM just text via 0783 745 260. I am 27 slightly black and slim tall, lives and working...
0 Reactions
5 Replies
941 Views
Nina umri wa miaka 31,natafuta mwanake wa kujenga familia kama mke na mme.sifa awe na umri Kuanzia miaka 22_28,awe mrefu,mcha Mungu pia awe na uhitaji was kuolewa. Alie tayari anichek pm.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
[SIZE=3]Nimekaa nimewaza sana jinsi ya kumpata wa kuyajenga nae maisha na mengineo nikaona hapa ndo mahali pake, Haya ni PM basi uje tuyajenge wote pengine tunaeza endana tukafikia lengo.
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Wadau wa jukwaa hili napenda kujua machache kwa wale waliopata wenza wao kupitia jukwaa hili! Ulimpata ambaye alikidhi vigezo vyako vyote au uliamua kukubaliana kwa kuwa ameonesha nia? Kwa...
4 Reactions
4 Replies
893 Views
Katika vitu ambacho sitakuja kujaribu ni kushika na kuangalia simu ya mpenzi wangu wala yeye haruhusiwi kishika yangu..Maana spendi matatizo naskia karbia kila siku watu wanalia kuhusu simu za...
0 Reactions
0 Replies
797 Views
Mimi ni kijana wa kiume, nina miaka 30. Nimehitimu elimu ya Chuo Kikuu ngazi ya Uzamili. Kazi ni Mhadhiri na ninaishi Mwanza. Wana JF, natafuta mchumba mwenye umri usiozidi miaka 30 na...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Mimi ni kijana wa kiume, nipo single, nimeajiriwa serikalini. Nina miaka 33. Natafuta mke. Awe na umri chini ya miaka 35. Sichagui dini. Kwa yeyote atakaekuwa tayari tuwasiliane 0689027050
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28. Kazi yangu ni mfanyabiashara wa kawaida. Naishi DSM. Nahitaji mwanamke mwenye umri tajwa hapo juu. Mwanzo nilikuja na...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Hello, Natumaini wote mko salama kabisa, husika na kichwa cha habari hapo juu Naitwa Mohamed, naishi Ilala Ukonga, umri miaka 29. Elimu yangu ni ya shahada ya kwanza, nafanya kazi katika kampuni...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
Kijana wa miaka 26 nipo Mbeya natafuta mke wa kuoa, kabila lolote asizidi elimu ya kidato cha 6 mengine tutayajadili, nitext au WhatsApp yangu 0759201441 Asante.
0 Reactions
1 Replies
964 Views
Back
Top Bottom