Nahitaji kumpata mwanaume mwenye uhitaji na serious relation

Sifa za mwanaume:
-Awe mkristo
Umri kuanzia 29-35
Awe na kipato chake
Mwenye mapenzi ya dhati

Sifa zangu
Mimi ni mkristi
Nina miaka 27
Rangi yangu ni black(beauty)
Nimeajiriwa serikalini.
Karibuni
Hizi sio sifa za kumfanya mtu akuoe. Serious people dont look at characteristics you mentioned. Are you aware of inner beauty? Try to do research on what men want in their wives and start over again.
 
Sifa za mwanaume:
-Awe mkristo
Umri kuanzia 29-35
Awe na kipato chake
Mwenye mapenzi ya dhati

Sifa zangu
Mimi ni mkristi
Nina miaka 27
Rangi yangu ni black(beauty)
Nimeajiriwa serikalini.
Karibuni
poa nakuja mrembo
 
Hizi sio sifa za kumfanya mtu akuoe. Serious people dont look at characteristics you mentioned. Are you aware of inner beauty? Try to do research on what men want in their wives and start over again.
kweli binadam hana jema.angeweka vigezo lukuki kama elim rang act mungesema vigezo vingi maneno yasingeisha.sasa hapa kaweka vigezo vya kawaida kabisa hajabagua yeyote aliye serious anaweza kukidh.ilatu zipo tabia ambazo watakuja kupimana wenyewe kama wataendana tusiwe watu wakuvunja watu moyo hivyo
 
Sifa za mwanaume:
-Awe mkristo
Umri kuanzia 29-35
Awe na kipato chake
Mwenye mapenzi ya dhati

Sifa zangu
Mimi ni mkristi
Nina miaka 27
Rangi yangu ni black(beauty)
Nimeajiriwa serikalini.
Karibuni
Weka kapicha basi vijana wathaminisheq
 
Sifa za mwanaume:
-Awe mkristo
Umri kuanzia 29-35
Awe na kipato chake
Mwenye mapenzi ya dhati

Sifa zangu
Mimi ni mkristi
Nina miaka 27
Rangi yangu ni black(beauty)
Nimeajiriwa serikalini.
Karibuni
Nina sifa zote tatzo bado nakula nyumbani... Kwamaana ya kwamba bado nalelewa na wazee.. Sijui nitafaa ?!
 
Mkriti ndio Nini?
Sifa za mwanaume:
-Awe mkristo
Umri kuanzia 29-35
Awe na kipato chake
Mwenye mapenzi ya dhati

Sifa zangu
Mimi ni mkristi
Nina miaka 27
Rangi yangu ni black(beauty)
Nimeajiriwa serikalini.
Karibuni
Mkriti ndio neno gani? kama jipya tuliongeze kwenye kamusi zetu

Vipi Vizinga unapiga? Maana nyie ndio Zetu Siku ya Kwanza tu... Simu yangu imaharibika au Imepotea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom