Natafuta mwenza wa kike ila awe Mwalimu wa Sayansi au Hisabati

Ethos

JF-Expert Member
Aug 1, 2015
2,294
2,000
Habari wana jamvi

Naona imefika wakati wa kutafuta mwenzi wa maisha ila Kigezo kikubwa ni awe Mwalimu hasa Sayansi na Hisabati..

Kipaumbele cha serikali sasa ni Sayansi na Hisabati.. Sitaki kuiangusha serikali yetu


Kama Kuna binti humu ambaye atapenda tuanze mchakato huo naomba tuwasiliane PM

Niko vizuri katika molovie na nina miradi mbalimbali


Asante
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom