Hakika naona ndugu zangu mmejisahau sana. Wakati majukwaa mengine wakiendelea kupiga kelele kuombwa jeshi la police wamwachie mkurugenzi mtendaji wa Jf, hapa watu wanaendelea kukomaa na ishu...
Habari ya asubuhi wadau, kama thread inavyosema am a man of age btn 30 and 34 nahitaji rafiki
au marafiki wa kike kw ajili ya kudiscuss mamambo ya maisha kwa ujumla na mitoko ya out na kupeana...
Naona mada za kutafuta wake zimekuwa nyingi lkn naomba nami nitoe ombi lang.
Nahitaji mdada muadventista msabato baadaye aje kufanyika mke nami niwe Mme wake.
Mimi ni kijana miaka 30, mfupi...
Natumaini niwazima wote ninaomba kwa wadada tu nipate wadada wakuchat nao tu sina la ziada hapo au labda itokee lakini kuwa sasa nahitaji wadada wakuchat tu nione pm nikupe contacts. tuwasiliane...
Habari zenu ndugu , natumai nyote mpo poa ,
Natafuta marafiki wa kubadilishana mawazo jinsi yyt , kwa sasa nipo znz kibiashara ila dar pia nakuwepo ,
karibun nyote
Hello LoveConnect Members!
Jaman mimi kijana nina miaka 27 ninajishugulisha na biashara natafuta mchumba wa kike umri kuanzia miaka 18-26.
Awe na mapenz ya kweli
PM kama uko interested
Mimi ni kijana wa miaka 30 nimeajilriwa natafuta msichana wa kuoa anayejielewa awe na miaka 20-25, awe na shughuli inayomwingizia kipato.
Aliye tayari tuwasiliane pm.
Am a girl miaka 25 naishi Arusha.
Natafuta rafiki hapa Arusha ambaye anahitaji company kama mimi...nmejifungia ndani mpaka nahisi kuwa chizi...i need to get out there but sina mwenyeji...
Sio mtu...
Habari wanajamvi, natumai ni Wazima Mimi ni kijana nimeamua kujitokeza kutafuta mchumba ili badae aje kuwa mke, mwenye upendo wa dhati
Sifa zangu
-dini yangu muislam
-umri Miaka 30
- Kazi...
Habari ndugu zangu, pole kwa majukumu ya kila siku,
Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 27, ninatafuta mwanamke wa kuanzisha nae mahusiano kwa lengo kuja kuishi nae pamoja awe na umri wa...
Habari ya jioni wapendwa......
Ni matumaini yangu Hamjambo humu ndani, Mimi ninaitwa Nzory Mussa kutoka Tanga Tanzania...
Nimeingia hapa kwa lengo la kutafuta MARAFIKI ambao tutakuwa...
Kiukweli nimechoka na upweke na upweke unaniumiza sana,nipo hapa kutafuta mke awe mwenza wangu wa maisha mimi ni mwanaume wa miaka 48-55 mwanamke mwenye nia thabiti na mwenye ukweli karibu sana
Mimi ni binti wa miaka 25 elimu yangu ni form four, natafuta mchumba alie tayari kua kwenye mahusiano na baadae kua mume, sichagui dini wala kabila, ila awe mkweli.
Habari wa j4 kwamala ya kwanza najitokeza kuwatangazia natafuta mwanamke ambae nitabadilishana nae mawazo na mapenzi tutakapo itaji ila angalizo siitaji kuoa ila nitadumu nae kwenye uhusiano labda...
Katika hali isiyo ya kawaida mzee mwenye umri wa miaka 75, Athuman Mchambua, mkazi wa Mtoni kwa Azizi Ally jijini Dar es Salaam amezua gumzo mtaani baada ya kuamua kutafuta mke kwa kuweka bango...
Umofia kwenu,
Jamani nahitaji mwanamke ambae atakuwa tayari tuishi pamoja as soon as possible sifa zake.
1 Mweupe
2 Mwenye kamwili kidogo
3 Atleast awe na kazi anafanya asiwe wa kukaa home tu
4...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.