Natafuta mke mwenye hofu ya Mungu

Natafuta mke mwenye hofu ya Mungu

edwin4

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2016
Posts
287
Reaction score
219
Ndugu wana JF, Natafuta mke mwenye moyo wa kumpenda Yesu si kwa kuigiza, ili aje anilelee watoto vizuri .maana ktk malezi, mama ndo kilakitu kwakweli.
Dondoo:
Nina miaka 30, ni mtumishi wa umma, napenda sana ibada tena sanaa kwakweli(naabudu makanisa ya kipentecost).

Karibuni kwa maoni na ushauri!
 
Kwa hiyo sifa ni awe anampenda yesu.. Je akiwa anampenda yesu na nimzee na watoto wanne utampenda pia
 
Kwa hiyo sifa ni awe anampenda yesu.. Je akiwa anampenda yesu na nimzee na watoto wanne utampenda pia
Asante kwa kunikumbusha! Naomba asiwe na mtoto na kuhusu umri awe chini yangu jamani! afu asiwe na gubu ila nkimkosea anionye taratibu na kwa wakati sahihi!
 
Ikiwa Eva alie original toka mikononi mwa Mungu hakuwa na hofu na neno la Mungu, je miisho hii we umpate wapi mwenye hofu na mume? Achilia mbali Mungu
Upo sahihi kabisa rafiki, nakuomba basi unishauri chochote kuhusu hii kitu!
 
Unapotaka kula kuku usichunguze kala nini. Oa umpendae, usioe mwanamke star, wala sister du. Oa ukiwa na lengo la kupata watoto bas usiweke malengo mengine kwasababu Mali halisi ya mwanaume na isiyooza ni watoto. Ndio maana ukifa watasoma marehem kaacha watoto kadhaa. Chukulia mfano wa ibrahimu, mali zake hazikumbukwi kinachokumbukwa ni uzao wake hadi leo hii... We oa uzae
 
Nashukuru sana tena sanaa kwa ushauli ulo jaa hekima! Mungu akukumbuke!
 
Back
Top Bottom