Patallo95
Senior Member
- Feb 20, 2017
- 199
- 129
Nimefikia uamuzi wa kutafuta binti mwenye shida ya kuolewa. Mimi nahitaji nioe na naamini jf nitapata atakayetamani kuishi na mimi.
Nimesoma ndio maana nategemea kupata aliyepita shule.
Mtaani ni vigumu sana kupata msichana hasa kwetu vijana tulioiacha jumuiya na kuwa masomoni muda mrefu.
Atakuwa na uhakika wa kula milo mitatu kwa siku na nitajitahidi kumtoa out mara moja kwa mwezi na katika sherehe za kidini na kiserikali.
Kigezo ni awe mwanamke mwenye shida ya kuolewa.
Umri wake kati ya 22-24 kwa sababu mimi ni 25.
Naomba kuwasilisha ombi kwenu