Mwanamke aliye tayari kuolewa nami, nina miaka 25

Baraka sheni

JF-Expert Member
Jan 5, 2015
470
193
Natafuta aliye tayari kuolewa ila siwezi kukuoa leo, lazima nikufahamu zaidi na wewe unifahamu. Baada ya kila mtu kuridhika ndio tupange mikakati ya harusi.

Kiukweli mimi nina miaka 25 ila kwa yeyote atakayevutiwa kuwa na mimi ana karibishwa PM.

Mimi nimejiajiri poa nina elimu nzuri tu najitegemea naishi Dar pia ni mkristo.
Nahitaji mwanamke anaejielewa na na aliyejiajiri au kuajiriwa awe tayari kuishi na mimi.

ELIMU NA MIAKA SIO KIGEZO KIKUU ILA MUHIMU NI HESHIMA NA UPENDO WA DHATI.

Karibuni wote alie serious aje PM.
 
Dogo huko ulipo haujawaona mademu live mpaka utafutie hapa! !!?
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom