mrs fiance
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 352
- 163
Nilikuja hapa jukwaani kutafuta mchumba, nawashukuru wote mlioonyesha ushirikiano nami kwa namna yoyote ile. Pia napenda niwashukuru wote mlioniletea kejeli na matusi yote.
Asanteni sana wamejitokeza wengi ila hakuna mwenye nia ya dhati, wengine walikuja huku wakijua umri wao ni mdogo. Ukilinganisha na nilioutaka mimi.
Pia kuna wengine walikuja kwa nia ambayo sio nzuri kwangu. Japo mimi nilipotoa tangazo nilimaanasha.