Umri wangu 32, dini muislam, elimu yangu shahada ya uzamiri, mimi ni mrefu. Nahitaji mchumba awe muislam mwenye kuitii dini, elimu awe na shahada kama ana kazi isiwe ya kwenda night. Asiwe mnene awe mrefu umbo la kawaida.Tukiridhiana tabia awe mke. Awe anaishi Morogoro au Pwani.
Nicheck 0621 076218.
Nicheck 0621 076218.