Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Kazi yangu ni Engineer, ila natafuta mwanamke alie na uvumilivu kwa mimi na kazi yangu,kusafiri kwenda nje ya nchi ya tz na Tanzania ndio ajira yangu kuu wakati nikiwa kikazi,na mwanamke awe...
3 Reactions
59 Replies
8K Views
Umri wanu ni miaka 35, natafutarafiki wa kike abae ni mpweke kama mimi kwa ajiliya kuriwazana, kushaurina na kupeana moyo katika mambo mbalimbali ya maisha... kwa anaehitaji tafadhali anitumie...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Mimi ni kjana kwenye umri wa miaka 27 Natafuta Msichana ambaye baadaye tukiweka mambo sawa na kuelewana tuishi pamoja Kama mme na mke Mimi ni mwajiriwa nafanya kazi. Sijawahi kuoa..vigezo...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Natafuta mwanamke hasiyependa ngono ili awe mke wangu wa maisha mimi miaka yangu kati ya 46 na 50. Karibu sana.
1 Reactions
53 Replies
7K Views
Nitakuwa na vacation tarehe 19/02/2017 wiki 1 au 2 nahitaji mdada atakayenipa kampani twende wote Nairobi kwa kipindi hicho, nina umri wa miaka 39, 95kgs niko Arusha. Pm kama interested.
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Hellow guys..natafuta rafik wa kike umri 22-26. Awe mkirsto wa roman catholic au hata lutheran. Pia awe na elimu kuanzia ya chuo, iwe diploma or degree ts ok, ambaye tayr anafanya kazi, vizur zaid...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Mimi umri wangu ni miaka 40. Nilikuwa masomoni nje ya nchi. Natafuta mke. Niliwahi kuwa na mahusiano na nina watoto wawili na ninawapenda sana. Dini yangu mkristo. Mke awe mkristo. Umri wa mke...
4 Reactions
302 Replies
27K Views
Habarini za wakati huu Mimi ni mtanzania kijana mwenye umri wa miaka 26 mwenye asili ya kinyamwezi. Nafanya shahada yangu ya kwanza ya Elimu kwenye moja ya chuo kikuu hapa nchini. Ninahitaji...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Nina miaka 28, dini muislamu, kazi yangu ni mwalimu, nahitaji msichana wa kuoa awe na vigezo vifuatavyo awe muislam, awe na elimu kidato cha nne awe mweupe, wa asili siyo wa mkorogo awe hajazaa...
0 Reactions
67 Replies
5K Views
A
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Mimi ni mwanaume mwenye miaka 29,natafuta msichana wa kuwa nae kwenye mahusiano na hatimae kuoana nae.awe na umri kuanzia miaka 22-26,mcha mungu,anaejiheshimu na kujithamini,mchapakazi,mwenye...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28 natafuta mke wa maisha umri sio tatizo kikubwa awe na mapenzi ya dhati dini sio shida kwani ataendelea kusali alipokuwa
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Natumai mko poa wanajukwaa hili. Najitokeza kwenu leo kwa lengo moja tu la kutafuta mschana ambaye yuko tayari tuwe wachumba na hatimaye tufikie lengo la kuanzisha na kujenga familia. Nahitaji...
0 Reactions
0 Replies
929 Views
Nimeingia Dar es salaam kama miezi sita sasa nikitokea mikoani ambako nilitoka baada ya kuachana na mke wangu. Kutokana na hali ya jiji watu kutoaminiana nimekuwa muoga kutongoza mademu...
0 Reactions
32 Replies
2K Views
Mfano mie napenda nimpate mwanaume mrefu, mcheshi, mchapakazi, asiwe mchoyo asiwe mpenda ndogo, asiwe na maringo. Je, inawezekana kumpata? Pia asiwe mchafu maana wanaume wengine mhhh! Na anipende...
16 Reactions
261 Replies
23K Views
Mim ni msichana, umri miak 26 ,elimu yangu kidato cha sita.. nahitaji mwanaume wa kuwa nae kimaisha anayefanana na mm, yaan kwenye vvu, awe na umri kati ya miaka 28-32 ,pia awe muislamu kwa sababu...
8 Reactions
82 Replies
8K Views
Naitwa Peter Odada, miaka 31 Kabila Jaluo, Urefu cm 182, rangi maji ya kunde, elimu diploma ya biashara(CBE Dodoma) Kazi biashara makazi Kilimanjaro. SIFA ZA MKE Awe na elimu kidato cha 4...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari za mida hii wana JamiiForum
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Back
Top Bottom