Natafuta Mke

Natafuta Mke

Adam4eva

Member
Joined
Feb 14, 2017
Posts
7
Reaction score
2
Habari za leo wana JF

Najitokeza mbele yenu ili kuweka wazi yaliyo moyoni mwangu. Sifa zangu ni kama ifuatavyo:-

- Umri miaka 43
- Elimu ya chuo kikuu
- Mkristo aliyeokoka
- Nina watoto 3 ambao mama zao wameshaolewa
- Nimeajiriwa
- Mimi ni mweusi, umbo la kati
- Raia wa Tanzania

Ninahitaji kuanzisha mahusiano yenye lengo la ndoa na mwanamke mwenye sifa zifuazo:-

- Awe na miaka 22 - 29
- Elimu ya Diploma au zaidi. Awe anajua kuongea kiingereza fasaha.
- Mkristo aliyeokoka au ambaye yuko tayari kuokoka
- Aweke wazi hali yake ya uzazi na awe tayari kulea watoto atakaowakuta kwa moyo wake wote bila ubaguzi wa aina yoyote. Pia niko tayari kumpokea yeye na mtoto / watoto wake kama anao. Ila tuwekane wazi tu.
- Awe ameajiriwa
- Awe mweupe au maji ya kunde
- Awe mwembamba au umbo la kati lakini si mnene.

Mwenye nia anitumie private message (PM). Asanteni sana.
 
Mhh, huo uwazi ukoje? Au unamaanisha nini?
 
Hapo kwenye kuokoka kumenikosesha mume unataka kufungua kanisa?😀
 
Wewe hujaokoka, ingekuwa hivyo mama wa watoto wako wasingekukimbia! Au umeokoka jana?
 
Ninahitaji kuanzisha mahusiano yenye lengo la ndoa na mwanamke mwenye sifa zifuazo:-

- Awe na miaka 22 - 29
-
- Awe mwembamba au umbo la kati lakini si mnene.

Mwenye nia anitumie private message (PM). Asanteni sana.[/QUOTE]

Vyote ninavyo lakini nimekosa sifa hizo zote hapo
So nimekosa mie
 
English english hii imenikosesha bahati. (Nnavyopenda umbea sasa tutasogoaje kwa english,umbea haunogi bana)
 
Nimecheka sn wanawake uliozaa nao wameolewa co bure utakua na shida
 
Ni tangazo la nafasi ya kazi au kutafuta mke??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom