Female friend/s needed for future plan.

seckymose

Member
Dec 29, 2016
87
47
Habarini za Jioni wanna if! Hope wote mkoa poa. Nisiwachoshe kama heading inavyosomeka kulingana na mipango yangu niliyo nayo siku za usoni ninatafuta female friends with ze following qualifications.

1) degree holder or above kwenye fani ya environmental or geology.
2) lazima awe mchaga au muiraq but kuwa mchaga is an added advantage.
3 she should be christian frm any denominations with exception of wasabato.
4) awe mrefu au wastami , ask we mnene Wala mwembamba but awe angalau mzuri as kawaida tu unatosha.
5)siyo lazima awe anafanya kazi ilimradi tu sifa no 1 na no 2 awe Nazo.
6).she should haves ability to advise someone on development issues.
7).awe flexible, accessible and available tuweze kuonana n.a. kuwasiliana Mara kwa mara coz kuna mambo mengi ya kuweka kwa afiki ya siku za usoni. So kama wewe upo bize tafadhali hili haikuhusu waachie wenye muda.
8). She must be residing in Dar es salaam.
9)she should be btn 25 and 30 years of age.
10.Anaweza akawa single mother but ukiwa hujazaa it is an added advantage.
Nb.
a)sijashindwa kuwapata huku mtaani ila kwa sababu nipo so strategic kwa watu wa aina hiyo nimeona nitumie mtandao huu hukuongeza sample space.

B) Mimi binafsi ni mwajiriwa but I have ambition of being a business man on future.
C) any interested lady should pm me or write to me on seckymose@gmail.com for further communications.

D) uonapo bandiko hili n.a. haina sifa basi usisite kumtaarifu na mwingine mwenye sifa.
 
On the way to pm
 
Masharti ya ajira hayo,mwanamme mwenzangu,angalia au tafuta mwanamke anaekupenda,mengine ni ziada tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom