Salaam, wana JF
Kwa mara nyingine tena naleta mbele yenu maombi yangu nikiwa naamini kwa moyo wangu wote kuwa lipo jibu miongoni mwenu. Haja ya moyo wangu ni kumpata binti au mwanamke ambaye...
Naitwa obed Frederick, nahitaji msichana alie tayari kuwa na mimi hatimae tuweze kupanga maisha mimi ni mwajiriwa serikalini vigezo kwa mwanamke awe anapenda ibada awe mwalimu au nurse.
If...
Mdada
26 yrs
Masters holder
Tall 179 cm
73 kg currently
Mweupe wa kawaida
Mwajiriwa
Christian
Beautiful with brain
Mwanaume awe
From degree kuendelea
Mrefu kama mimi
Awe...
Habari za leo wana JF.
Ninakuja mbele zenu na hoja yangu ambayo kama kichwa cha habari kinavyosema natafuta mke. Lakini kwanza nataka tuanze na urafiki wa kawaida, tufahamiane halafu tuendelee...
Umri wangu miaka 26, elimu yangu kidato cha nne sina mtoto wala sijawai olewa, dini ni kristo kitu ninachokipenda napenda kupika na kucheza mziki situmii kilevi chochote.
Mwanaume ninaemuhitaji...
Mimi mwanaume, umri miaka 35 Naishi Dar es Salaam. Natafuta rafiki wa kike wa maisha umri miaka 30 mpaka 40. Awe anaishi Dar es salaam.Mengi tutaongea tutakapo onana
Karibu
Habari,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29 mwembamba mrefu maji ya kunde naishi Dar na nimeajiriwa serikalini, nahitaji mke wa kuoa mwenye sifa hizi;
Awe muislamu wa ukweli awe na umbo zuri...
Nina miaka 40 msomi nimerudi hivi aribuni toka masomoni ng'ambo. Natafuta msichana amabaye yupo tayari kwa mahusiano yenye mwelekeo wa ndoa. Sijali rangi au mwonekano ajali internal beuty. Aliye...
Hi Wanabodi,
Chini ni list ambayo imetolewa na pornmd ikiorodhesha nchi zinazoongoza kwa uangaliaji wa zile video za kiutu uzima mitandaoni. List imenishangaza kwa kweli.
Hii hapa jionee mwenyewe.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31. Ni mda sasa natamani kuwa na mtu ila sipati bahati kukutana na mwanamke ambaye ana vigezo nnavyovitaka.
maana kila nikikutana na demu ni vibomu tu kama vya...
Nina miaka 29, elimu yangu degree ni muajiriwa wa taasisi flani nahitaji mwanamke wa kuoa vigezo awe na elimu kuanzia kidato cha nne atleast awe mwenye matokeo mazuri ili iwe rahisi kumuendeleza...
Nahitaji mume wa kuishi nae nyumba ipo nina vyumba viwili tutakaa hadi tujenge hakuna kulipa kodi.
Uje na vitu vya ndani vyote .ukiwa na gari itapendeza zaidi ila kama huna njoo tu tutanunua...
Instead of looking at your connection as relationship, try to view it as partnership. Partnership will lead you to a whole new level.
* Wale waliojiunga JF tangu 2006 - 2011 Tujadili*
Mambo,mambo vipi!?
kichwa cha habari nadhani kipo clear,natafuta mwanamke wa kuoa kwa mkataba,mkataba ni renewable baada ya mwaka,probation time ni miezi sita ndani ya hiyo miezi awe na uhakika wa...
Habari wana JF,
Husika na kichwa cha habari,
Natafuta friends went sifa kama hizi;
SIFA
Umri- 27 up to 32
Dini - Muslim
Elimu - degree na kuendelea
Awe amejiari / kuajiriwa
Mambo mengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.