Natafuta mke mwema

solanum

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
203
99
Mimi nina miaka 27, muislam, nina bachelor degree natafuta mwanamke mwenye mapenzi ya kweli na yuko tayari kuolewa na awe na sifa zifuatazo

awe muislam

awe na umri wa miaka 18-30

awe anaishi Dar es salaam

awe na elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea

awe na mapenzi ya kweli

Kwa aliyeko tayari anitafute 0758 106 501
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom