Baraka sheni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2015
- 471
- 197
Habari za kutwa wana jf .
Natafuta mwanamke wa kuanza nae mahusiano ya kimapenzi.
Kwa mimi binafsi nimejiajili na ninge penda na yeye akawa ameajiriwa au amejiajili pia sio mbaya akiwa anasoma.
VIGEZO. awe anashuguli ya kufanya, awe mkristo pia awe anajitambua na awe mtu wa kushaurika.