chemosynthesis
Member
- Sep 14, 2016
- 85
- 38
Habari za asubuhi wana MMU... jukwaa pendwa kabisa naimani wote ni wazima kabisa
napenda niende kwenye mada moja kwa moja
Tangu mwaka uanze nimetongoza mara 4 lakini zote nimeishia kupigwa za uso sasa najiuliza ivi ni gundu gani hasa nililo nalo au kuna sehemu naenda ndivyo sivyo
Wengi wao wanadai wako katika mahusiano na mimi mwanamke akisha niambia yupo kwenye mahusiano huwa nakata tamaa
Wakuu hebu nipeni njia mbadala zitoweza kuniwezesha kuwapata hawa viumbe kwa sababu upweke umenichosha ndugu zangu
Cc stunter