Tuwaseme JF-Expert Member Oct 8, 2014 645 1,191 May 10, 2017 #1 1. Kumuacha mpnz uliyempenda aende? 2. Kumsahau uliyempenda? 3. Kuanza upya bila yeye?
Sadock Kabuko JF-Expert Member Mar 26, 2013 1,166 1,075 May 10, 2017 #2 Mm naona yote magumu inategemea umeguswaje na moja kati ya hayo
Eddy Love JF-Expert Member Jul 25, 2011 13,654 8,561 May 10, 2017 #4 Maamuzi magumu ni pale unapokosa pesa yakuendesha maisha yako,unawaza nakutafakari jinsi gani utayakabili maisha yako
Maamuzi magumu ni pale unapokosa pesa yakuendesha maisha yako,unawaza nakutafakari jinsi gani utayakabili maisha yako
Tuwaseme JF-Expert Member Oct 8, 2014 645 1,191 May 10, 2017 Thread starter #5 mansuly said: Kumsahau uliyempenda doh doh Click to expand... Uko sawa mkuu, unaweza kumuacha aende na ww ukaanza upya ila tatizo linakujaga kwenye kumsahau
mansuly said: Kumsahau uliyempenda doh doh Click to expand... Uko sawa mkuu, unaweza kumuacha aende na ww ukaanza upya ila tatizo linakujaga kwenye kumsahau
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 52,651 71,008 May 10, 2017 #6 Yote mkuu uliyoorodhesha kwangu magumu
usser JF-Expert Member Sep 25, 2015 13,956 14,031 May 10, 2017 #7 No 2, Aiseee co kirahis Unafanana na chelewa kwa week moja tu
BIGstallion JF-Expert Member Sep 13, 2016 6,324 7,912 May 10, 2017 #8 Kumsahu uliempenda ni kama kumkumbuka MTU hujawai kumfahamu,almost impossible...
Tuwaseme JF-Expert Member Oct 8, 2014 645 1,191 May 10, 2017 Thread starter #11 rikiboy said: Kumsahau aliekuwa Mtata 6x6... Click to expand... Hahaha
Super women 2 JF-Expert Member Nov 16, 2016 5,164 6,539 May 10, 2017 #12 kumsahau ulie mpenda. na mkaendelea kuishi kawaida bila visasi.
BIGstallion JF-Expert Member Sep 13, 2016 6,324 7,912 May 10, 2017 #13 Super women 2 said: kumsahau ulie mpenda. na mkaendelea kuishi kawaida bila visasi. Click to expand... Unatakiwa umsamee
Super women 2 said: kumsahau ulie mpenda. na mkaendelea kuishi kawaida bila visasi. Click to expand... Unatakiwa umsamee
Wazo Langu JF-Expert Member Mar 21, 2011 1,381 842 May 10, 2017 #14 Kumuacha tu. Nikiweza kumuacha vingine vyote huwa rahisi.
Super women 2 JF-Expert Member Nov 16, 2016 5,164 6,539 May 10, 2017 #15 BIGstallion said: Unatakiwa umsamee Click to expand... ni kweli
titimunda JF-Expert Member Nov 26, 2014 7,571 9,789 May 10, 2017 #16 Tuwaseme said: 1. Kumuacha mpnz uliyempenda aende? 2. Kumsahau uliyempenda? 3. Kuanza upya bila yeye? Click to expand... Yote simpo hayo kwangu.nahitaji wiki moja tu.
Tuwaseme said: 1. Kumuacha mpnz uliyempenda aende? 2. Kumsahau uliyempenda? 3. Kuanza upya bila yeye? Click to expand... Yote simpo hayo kwangu.nahitaji wiki moja tu.