Mke mwema njoo, unahitajika!

Heart Wood.

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
972
1,150
MKE MWEMA NI HUYU.

Mcha Mungu, Mvumilivu, Mstahimilivu uliyeokoka na kumkiri Mungu kwa kumaanisha na siyo kumkiri kwa mdomo tu wakati moyoni hakuna Mungu, (Hiki ni kigezo muhimu zaidi).

Creative na Mchapakazi..

Uwe unajielewa, ujiandae kuwa katika Familia ya Kuomba na Kufunga regularly.

Ujiandae kuishi maisha halisi, siyo kama yale ya Bongo Movie.

Jiandae kutembelewa na kupata wageni wa kutosha..

Nyingine zaidi ya hizo ni mbwembwe tu za Dunia hii. Ambazo siyo za msingi sana.

Karibu kwa ushauri na maoni zaidi..
 
Elimu ya chuo kikuu hivi nayo ni kigezo cha kupata mke mwema...........................? nauliza tu
 
Nimelipenda sana bandiko lako!!! Umejieleza vizuri!
Mungu akupatie haja ya moyo wako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom