COTANGENT
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 444
- 243
Mimi ni kijana wa umri takribani miaka 30 sasa. Elimu yangu ni shahada ya kwanza(Engineering) toka Udsm na kwasasa ni muajiriwa kwa private company moja huko kanda ya ziwa.
Natafuta mke mwema tujenge maisha pamoja, awe na sifa zifuatazo;
1)Dini - Mkristo, mimi ni RC though sichagui dhehebu
2)Elimu - Shahada ya kwanza na kuendelea
3)Kipato - Awe na kipato chake either kwa kujiajiri au kuajiriwa
4)Rangi - Maji ya kunde au mweupe
5)Kimo - Awe na urefu wa wastani ila sio mfupi sana wala mrefu sana. Kimo changu mimi ni 160Cm.
Kwa mengine mengi please njoo PM tuzungumze, nipo serious na Mungu akipenda ndani ya miezi 6 ya uhusiano wetu tutafunga ndoa, so kwa walio na utayari please let's make it real.
God bless you all,