Natafuta mke wa kuoa

katto14

JF-Expert Member
Jul 28, 2016
226
62
Mimi ni kijana wa miaka 30 nimeajiliwa serikalini natafuta msichana kuishi nae mungu akijaalia awe mke Wangu umri kuanzia miaka 20 mpaka 26 awe na shughuli yoyote halali alive serious tuwasiliane pm plz
 
Mimi ni kijana wa miaka 30 nimeajiliwa serikalini natafuta mke wa kuoa awe na shughuli ya kufanya umri miaka 20 mpaka 26.

Aliye serious tuwasiliane pm plz
 
Mimi ni kijana wa miaka 30 natafuta mchumba wa kuoa awe na miaka 20 mpaka 26 awe na shughuli ya kufanya aliye tayari tuwasiliane pm plz serious
 
Mimi ni mwanaume wa miaka 30 natafuta mke wa kuoa awe na umri kati ya miaka 20 mpaka 26 elimu kidato cha nne kuendelea awe na shughuli ya kufanya inayomwingizia kipato aliye tayari tuwasiliane, pm please.
 
Bado sijapata sasa wa kuishi nae, mimi ni mwanaume wa miaka 30 nimeajiriwa serikalini natafuta msichana wa kuishi nae awe na miaka 20 mpaka 26 awe na shughuli ya kufanya aliye tayari tuwasiliane pm.
 
bado sijapata as kuishi nae mm ni mwanaume wa miaka 30 nimeajiriwa serikalini natafuta msichana wa kuishi nae awe na miaka 20 mpaka 26 awe na shughuli ya kufanya aliye tayari tuwasiliane pm
Tafuta pesa kwanza,kuajiriwa serikalini sio kuonesha stable yako financially.
Ukiwa na pesa huna haja ya kuja hapa na bandiko la kutafuta mke,watakuja mwenyewe tena kwa foleni!
 
Mimi ni mwanaume wa miaka 30 natafuta mke wa kuishi nae awe na umri kati ya miaka 20-27 aliye tayari tuwasiliane pm.
 
Natafuta mke wa kuishi nae mimi ni mwanaume wa miaka 30 nimeajiriwa serikalini, msichana anayehitajika ni wa umri wa miaka 22 mpaka 26 awe na shughuli ya inayomwingizia kipato sms zote zitajibiwa pm.
 
natafuta mke wa kuishi nae mm ni mwanaume wa miaka 30 nimeajiriwa serikalini msichana anaye hitajika ni wa umri wa miaka 22 mpaka 26 awe na shughuli ya inayomwingizia kipato sms zote zitajibiwa pm
mnawapata lakn
 
Pole sana ndugu, Ushauri neda pale Leaders Club usiku utachagua unaemtaka maana pale kila umuonae aningiza kipato.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom