hopefullytz
Member
- Apr 26, 2017
- 12
- 8
Kichwa cha habari cha husika mimi ni mwanamke naishi Njombe, natafuta rafiki ambaye tutashauriana issue mbalimbali kuhusu ili janga ikiwezekana baadae awe mume. Awe na sifa zifuatazo ....... . Mchapa kazi, mwenye hofu ya mungu, awe smart na mwisho awe na kipato....... Maswali ntayajibu inbox. Point to note...... sijajinyanyapaa ila nahitaji mtu mwenye status kama yangu.