Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na taasisi ya umoja wa Mataifa ya uhamiaji imebaini kwamba Watanzania ndio watu wanaosafiri Kwa kukimbia Nchi Yao Kwa kiwango kidogo sana kati ya mataifa ya Afrika...
5 Reactions
44 Replies
418 Views
Jana usku kumetokea ajali mbili zimeondoka na Roho za WATANGANYIKA wenzetu zaidi ya 30 Je mbona hakuna hata salamu za Rambirambi kutoka serikalini? Au ni sehemu ya USHETANI KUENDELEA kuchukua...
2 Reactions
32 Replies
340 Views
Japo.bado ana mda lakini matumaini ni kidogo. Kikwete alituachia A. Mazuri 1. Daraja la kigamboni 2. Chuo kikuu Dodoma 3. Chuo kikuu Nelson Mandela Arusha 4. Barabara mabasi ya mwendokasi 5.Ajira...
9 Reactions
31 Replies
522 Views
Katika ulimwengu wa sasa wa kidijitali, kuna kitendawili kinachoshangaza lakini kikitazamwa kwa kina kinaeleweka kijamii na kisaikolojia: mada zinazohusu ushangiliaji wa kisiasa au kijamii—maarufu...
3 Reactions
6 Replies
62 Views
Unalipa Nauli ya Business Dar -Moro (50,500/=) ila unasafiri mpaka Dodoma na huduma za full VIP [soft drinks na snacks], (badala ya kulipa bei halali ya 120,000) na huduma za kifalme. NB...
33 Reactions
165 Replies
3K Views
Sioni dalili za el nino wala nini? Nasikia kuna bil 700 zilishatengwa kwa ajili ya el nino. Nasikia harufu ya upigaji wa hali ya juu.
6 Reactions
52 Replies
513 Views
Badala ya kuwaondoa watu masikini wa Kata 10 za Temeke ili kupisha Makontena ya Matajiri, Nashauri Masikini hao waachwe waendelee kuishi na wajifie wenyewe kwa njaa, badala yake Kariakoo,Posta na...
10 Reactions
52 Replies
486 Views
Stanslaus Nyongo, amesema ofisi yake imeandaa mkakati wa kuanzisha soko la ardhi litakalowawezesha wananchi kununua na kuuza ardhi. Note: Je huu ndio msumari wa migogoro ya ardhi? Source...
1 Reactions
0 Replies
53 Views
Wanabodi, Hii ni makala yangu gazeti la Nipashe la leo Hii ni makala yangu ya pongezi kwa Wakili Mwabukusi kuchaguliwa kuwa rais wa TLS, na kumpa ushauri wa bure, aibadili TLS kutoka kule juu...
17 Reactions
133 Replies
6K Views
Tanzania na nchi zingine za Afrika kama Nigeria zina mpango wa kuwa na GDP(Nominal) ya dola trilioni moja ifikapo mwaka 2050. Nimeuliza super intelligence, ni umeme kiasi gani unatakiwa ili...
2 Reactions
6 Replies
88 Views
Katika hali ambayo si ya kawaida manispaa ya Temeke imeamua kukifanya tunacho katazwa, manispaa ya Temeke inaziba mitaro ya maji ya mvua kwa kutumia mbao kisha kuwauzia wafanyabiashara eneo la...
0 Reactions
11 Replies
202 Views
Nchi yetu barabara kuu km za 1. Dsm-Moro-Iringa-Mbeya-Tunduma(T001) 2. Chalinze-Moshi-Arusha-Namanga(T002) 3. Morogoro-Dodoma-singida-Nzega-Shinyanga-Mwanza(T003/T004) zilitakiwa njia ziwe njia 4...
3 Reactions
10 Replies
128 Views
My Take Msigwa alisema subirini mambo makubwa yanakuja.🔥🔥 Wale vibaraka wa Kenya waje tena kupayuka 👇👇 https://www.instagram.com/p/Dbsp926iFDm/?igsh=dHEweHczems2djhv
11 Reactions
90 Replies
2K Views
Swala la Katiba mpya limeendelea kuwa hoja inayojadiliwa zaidi miongoni mwa watanzania. Pamoja na mambo Mengi yanayojadiliwa, swala la muundo wa muungano limeendelea kuwa na umuhimu wa kipekee...
0 Reactions
10 Replies
101 Views
MKUU WA WILAYA YA KISARAWE KISARAWE – PWANI YAH: TAARIFA NA OMBI LA KUPATIWA MSAADA KUHUSU KERO YA KELELE ZA MUZIKI KUTOKA KWA BAR ILIYO KATIKATI YA MAKAZI Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya, Hii ni...
3 Reactions
24 Replies
327 Views
Historia Viongozi hasara Tanzania: Kikwete na ndugu zake, Samia na ndugu zake hawa ni vilaza Kabudi, Chenge, Jadi Chade hawa wana akili lakini matumbo yamewafikisha hapo
7 Reactions
22 Replies
305 Views
Balozi polepole ukiwa hai au umekufa bado tunakukumbuka, tumenyamaza lakini hatujakusahau. Mambo bado ni mabaya sana, Mafwele anaandaliwa kuwa kuwa IGP nafikiri ni namna ya kumlinda.
2 Reactions
5 Replies
93 Views
Rais Samia ameajiri vijana kuanzia wale wa 2015 mpaka 2025 . Wale ambao Magufuli hakuwa na fedha za kuwalipa kama angewaajiri. Akasingizia uhakiki. Yeye kaajiri waliopaswa kuajiriwa kipindi cha...
2 Reactions
70 Replies
775 Views
Nitaweka baadhi tuu ya miradi n programu kubwa na muhimu alizofanya na anazoendelea kufanya ambazo ni game changer ya maendeleo ya Nchi. 1. Amemaliza kupeleka umeme Kila Kijiji,Sasa anaendeleza...
6 Reactions
276 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…