WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba, amewataka wanamipango, wachumi, na watendaji wote wa serikali kuongoza mageuzi ya kiuchumi kupitia utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 na Mpango wa Nne...
Tushukuru serikali hii ya wezi wa kura kwa kurudisha Tanganyika. Kwa msio jua Tanganyika ni jina la wasambaa. Kama kuna mtu anauza tshirt za Tanganyika nipeni link
Kuna wakati naona watanzania hawako fair kwa Rais Samia, maana yeye hajafika hata robo ya mabaya ya watangulizi wake.
Hebu msikilize Rais mstaafu Mkapa hapa...
CCM vs Tanzania sasa haya mashindano ya watu kuhujumu nyumba wanayoishi kwa kujisahaulisha kama wenyewe nao wanakaa ndani ya nyumba.
Tatizo sio mauaji au utekaji wa watu ndani ya nyumba Tanzania...
Tanzania ni nchi mgumu sana Watanzania.Tunahitaji nguvu ya ziada.
Urusi ipo kutusaidia tuiunge mkono na inamtambua vizuri Rais Samia.
Mwisho mzuri sio mbaya.
Inawezekana kuna makosa katika kauli zake, hakuna asiyekosea, lakini wanaompinga wameenda mbali zaidi kuliko uhalisia
Lema kuwa karibu na labda kuwa kabila moja na Freeman Mbowe au labda wote...
Wana habari na wasanii wamechangia kutufikisha hapa! Mtazama na Meli Tanzania.
Wanahabari wamebaki kuwa machawa na wasanii badala ya kufikiria kukuza biashara wanafikiria kuwa machawa.
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA John Mnyika amesema, Watu wanapewa taarifa potofu ilii kutugombanisha ili wauaji watembee huru. Watu wanadaia eti Jakaya Kikwete, Boniface...
Kuna vijana watu walikuja kumsalimia kijana wangu, kwa bahati mbaya sikua nimewasikiliza mwanzo wa mazungumzo yao ila nikuta wakiwa kwenye ajenda ya maandamno, wakidai kuwa wameambiwa walinde...
Heshima sana wsnajamvi.
Kuna utaratibu wa hila na laghai za kila aina ambazo sijui chanzo chake au kusudio lake.
Huyu Kafulila kila uchao utasikia kasema hili mara kasema lile.
Ukitazama nyuzi...
Kafulila amrejea Mwalimu Nyerere kuhusu MDGs na SDGs.
Arusha TICD, Akizungumza na wanazuoni wa Tengeru Institute of Community Development (TICD), Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Ubia nchini (PPPC)...
Wanabodi,
Hii ni Makala yangu kwenye gazeti la Nipashe, Jumapili ya leo.
Leo, nimeizungumzia Ripoti ya Jaji Chande kwa kuwa mtu wa shukrani, kushukuru kwa hiki kidogo ili tupatiwe kikubwa...
Padre Kitima ni kiongozi wa kiimani nnae mkubali sana haswa mitazamo yake.
Lakini sikubaliani nae kwenye proposal yake kuwa mchakato wa maridhiano uongozwe na wananchi.
Kwenye theory inasound...
Taifa hili halikuanzushwa rejareja kiasi hiko eti chama cha siasa kinachoweza kuendeshwa na mabinti wakaa Uchi wa mtandaoni kikapewe Serikali na kusimamia rasilimali za kipekee zinazopatikana...
Mfumo mkubwa wa Taifa ni ule wa kushindanisha watu wenye ubora KATIKA viongozi Bora zaidi KATIKA haki na ukweli.
Maendeleo yanatokana na ushindani wa kutafuta kitu kilicho Bora zaidi
Kuua...
Tunashuhudia wahitimu vilaza mno wasiojua kutofautisha R na L ...lakini waliokosa uzalendo na wenye matusi kwenye mbongo zao na ndimi zao.
Kwangu mimi haya ni matokeo ya kuifanya Elimu kuwa ni...
Na Nulphin Charles, Katibu Mstaafu Kanda ya Serengeti
Mijadala katika mitandao ya kijamii imechukua sura mpya baada ya Mange Kimambi kutoa kauli za dharau kwa viongozi wa CHADEMA. Hii imefuatia...
Wewe waziri Dk Gwajima kinachofanya mpaka leo ndoa za kimila hazina cheti halali ni nini?
Kwa sasa ili ndoa ipate cheti ni lazima iwe ya kanisani, msikitini au kiserikali tu ,swala hili...
Dunia nzima inaamini demokrasia ni mfumo wa kuwafanya wawe huru kufanya kitu wanataka. Demokrasia bado ni mfumo wa unyonyaji,huku ukikupa uhuru wa kumchagua mtu wa kukunyonya kwa muda wa miaka...