Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo.
Hapa naileta kama swali, hii dhana na kauli mbiu ya Samia Mitano Tena, kufuatia ile the spirit ya 2025, "twende na mwanamke" ...
Kwa mauwaji yale. Tanzania haiwszi kuwa kama zamani.
Ushauri wangu kwa wale Lumumba Buku 7, acheni kupoteza muda wenu.
Huwezi kuua watu namna ile halafu ukadhani maisha yataendelea tu kama...
Kwa kipindi cha mwezi mmoja nimekuwa katika hali ya kutafuta suluhu ya nini kifanyike kurudisha ari ya vijana, na watu katika utafutaji (hasa vijana)
Kwanini? vijana wengi walio ingia barabarani...
Kwahiyo Mzanzibari anaweza kuwa Rais zanzibari na Tanganyika pia? Ila Mtanganyika hawezi kuwa Rais wala Raia wa Zanzibari sio? Kwahiyo sasahivi taifa lenye watu million hata tatu hawafiki wamepata...
Ndugu Samia Suluhu Hassan, ametoa salamu za pole kufuatia kifo cha aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania Julius Benedicto Mallaba.
Note: comments kwenye hii post huko FB zinatisha Sana.
Maandamano aliyoitishaga Mange Kimambi yalileta badiliko lolote wakati ule?
Je, kipindi hiki NDIO tuseme chuki dhidi ya serikali iko kwenye peak kuliko miaka yote TANGU uhuru?
Gen Z wa wakati...
Tumepita wakati wa kulazimisha mgombea mweza kutoka upande wa bara au visiwani.
Tuweke uhuru wa wagombea kuchagua mgombea mwenza bila ubaguzi wowote au kulazimishwa na sheria.
Hakuna sababu...
Tetesi stendi ya Magufuli yafurika watu wanao ondoka dar kukimbia maandamano ya gen z #D9.
Gen z wanakuja na maandamano makubwa sana December 9 ambayo hayajawai kutokea africa
===========
Hali...
Hiki chombo kwakweli nadhani ndio chombo ambacho baada ya rais kuwa juu ya sheria basi chombo kinacho fuata ni jeshi la polisi wakifuatiwa na usalama wa taifa lakini kinara wa kuvunja sheria za...
Samia alitoa ahadi kedekede za kutekelez ndani ya siku 100.
Mpaka leo zimeyoyoma karibia siku 50, yaani %50 ya siku 100 kutekeleza aliyoyahaidi majukwaani.
Je, ametimiza yapi kati ya haya...
Taifa letu limejaa mambo ya ajabu, ya hovyo kupindukia.
1. Mahakama ovyo::
Ukifuatilia mwenendo wa kesi ya Lisu unagundua mahakama zetu zilivyo hovyo, mahakimu wetu walivyo hovyo, na ofisi ya DPP...
I expected kauli kama “ Mim na nyie waandishi wahabari nipo tayari kwenda kwenye eneo wanalosema miili imezikwa tukajionee na kureport kuwa sio sahihi…”
Kwanini Msigwa uwa anajitoa sana ufahamu...
Leo ni takriban siku ya 10 toka Jeshi la Polisi Tanzania lilipotoa taarifa ya hali ya usalama nchini tarehe 12/12/2025.
Tungependa kuwajulisha kuwa, kwa kipindi chote hicho hali ya usalama nchini...
Huyu Mama na Chama cha Mafisadi hadi leo watu hawana maji mji mkubwa watu wana nunua maji na mgao wa umeme. Tusishangae hawashindi mpaka kuiba kura maana ni nani mwenye akili zake atawapigia kura...
1. Kuhusu ujenzi na usimamizi wa barabara kuu yaani za tanroad.
Kuna changamoto kubwa sana ya kujua priorities za nini cha kufanya, Moja lazima tujue barabara gani za tanroad za kujenga na kwa...
Ndugu zangu sipo hapa kupiga siasa au kuchochea chuki, bali ni kuleta ndoto yangu niliyoota usiku wa kuamkia leo
Nimeota gari la askari limepata ajali, wakafariki askari wengi sana. Basi watu...
MAANDAMANO SIO NJIA SAHIHI YA KUDAI HAKI KWA NCHI AMBAZO ZINAENDELEA.
Wakati tunaendelea na ujenzi wa Taifa , kama wananchi tunabidi kujiambia ukweli kuwa maandamano ni njia mojawapo ya kudai...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kuepuka mashikizo ya kisisa akieleza kuwa kuwa mshikamano kati...