Kumbukeni ya kura ni maandamano yasiyo na kikomo.. Kuanza kuyakejeli mapema kiasi hiki ni upungufu mkubwa wa akili
Siku ndio kwanza imefika nusu kama ukihesabu kuanzia jana usiku na robo siku kqma...
CHARITY BEGINS AT HOME.
Tofauti na viongozi wengine waliomtangulia, Mwalimu Nyerere hadi Kikwete, Mheshimiwa Rais Magufuli ni mfano wa kuigwa kwa aina ya Viongozi wanaopapenda na kupapendelea...
Hamjambo Wore.
1. Kama nitaulizwa Maswali nini kilifanya maandamano ya D9 yafeli na vuguvugu la maandamano yanayofuata kupoteza momentum ni pamoja na sababu nilizowahi kuzieleza.
2. Lakini...
Africa ukiona mtu mwenye miaka 85 (Baadhi) na kuendelea anasema anakitu anataka kuongea ujue atakachokiongea atakuharibia na ww uliyempa mic maana utaonekana huna akili kama yeye. Nadhani ni...
Wakuu,
Leo mbali na kuwa ni Uchaguzi Mkuu wa CHADEMA pia wanasherekea Miaka 32 ya CHADEMA kupata Usajili wa Kudumu, ambapo ulipatikana Januari 21, 1993...
Huyu mtu, huyu kiumbe aitwaye Samia anapaswa kushitakiwa, at the least.
Ingekuwa ni juu yangu, nadhani wote mnajua ambacho ningetaka kumfanya au ambacho ningependa kimtokee.
Kwa dhambi kama hii...
Jamani hebu oneni aibu hii Yaani mchana kweupe wanaweka show za watu kuonesha maungo yao
Je, Wavuvi Camp wapo juu ya sheria? nani anawalinda hawa wavuvi? je haya ni maadili ya mtanzania
Au kuna...
Umesimama vyema kabisa katika kupigania maslahi ya taifa hili kila mara, lakini umepuuzwa na kudharauliwa na hao hao wanaotaka sasa uwe dodoki la kufuta uchafu.
Umekuwa ni sauti pekee iliyosalia...
Kama kichwa kinavyoeleza ,wakati Samia anaingia madarakani alikuta wakandarasi wazawa wanapuuzwa kwenye kazi na wanapata vikazi ambavyo haviwezi kuwafanya kuwa mabilioni na kulipa Kodi.
Mfano...
Waziri Kombo Awasilisha Ujumbe Maalum wa Rais Samia kwa Mwanamfalme wa Saudi Arabia.
============
Waziri Kombo Awasilisha Ujumbe Maalum wa Rais Samia kwa Mwanamfalme wa Saudi Arabia
Waziri wa...
Sina KESHI ila ntazikopa, kama niliwai tamani kuuza nyumba ya urisi kwa Ajili ya kumpata wema Sepetu,sishindwi Kuiuza Ili nikupe Mzee wasira ukaitishe mkutano pale kisesa uwashukuru Wana CCM kwa...
NImefuatilia mahojiano yaliyofanyika kati ya Boniface Jacob maarufu kama Boni Yai Ex Mayor ambaye ni mwenyekiti wa Chadema kanda ya pwani na mtangazaji anaye kuja kasi Aloysi Nyanda aka Mtozi...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Jumanne, Agosti 12, 2025 Ikulu Dar es Salaam amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (Tucta)...
Mchengerwa ni mhuni, hakuna aliyechezea mashine. Baada ya kelele nyingi wameenda kuazima mashine za ziada za hospitali moja binafsi hapa jijini (jina linahifadhiwa wasije kutekwa).
Mchengerwa...
Imetoka kwenye official page ya X-Twitter ya Hilda Newton
===============================================
TAARIFA KUTOKA KWA MMOJA WA POLISI MWANDANI WETU OYSTERBAY POLICE STATION - DSM
Kuna...
Akihojiwa na Gazeti la Jamhuri, Waziri Mkuu Mstaafu/Makamu wa Rais na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mstaafu, Jaji Sinde Warioba amesema Bunge la 12 lilikuwa ni bunge dhaifu kwelikweli kuliko...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Pwani, Boniface Jacob maarufu kama Boni Yai, amesema kuwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe, ana haki...
https://youtu.be/7u6YDxC_wp0?si=rbyQ6-9B0eqvLoXY
Wanatumia kila mbinu kujaribu kumwokoa Samia dhidi ya uhalifu wa kibinadamu (mauaji) waliyofanya 29/10 hadi 3/11/2025....
Hakuna ubishi wowote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.