Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Bado sijaelewa imekuwaje Mtu huyu mwenye Dhambi kuwa msemaji wa kanisa hilo, sijaona mahali popote ambapo Mambosasa aliwahi kutubu unyama wake alioutenda, ikiwemo mauaji ya kijinga ya Akwilina...
41 Reactions
181 Replies
7K Views
Je maamuzi yake yatatekelezwa hata kama ni matokeo ya mimba? Je ataacha madaraka kamili kwa makamu wake?
7 Reactions
34 Replies
573 Views
Wakuu, Jawabu la swali kuhusu mwafaka kati ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi, limeanza kutafutwa baada...
13 Reactions
58 Replies
5K Views
Muda utaongea............., Spacetime kama alivyosema Albert Einstein
2 Reactions
29 Replies
565 Views
Hii nchi inazidi kupotea kila kukicha , tunazidi kuingia gizani tusijue tutatokaje. Wahuni wa CCM, wametudharau sana. ============ KUHUSU KUPELEKWA GEREZANI MWANACHAMA WETU DEOGRATIAS PIUS MUSHI...
11 Reactions
43 Replies
1K Views
Kauli za Jaji warioba hazipaswi kuachwa hewani lazima maswali yafutayo yajibiwe. 1) Toa takwimu waliouawa octoba 29 2) Toa idadi ya watu waliokufa vita vya kagera 3) kwanini hutaki kutoa maoni...
1 Reactions
38 Replies
2K Views
Wanaukumbi. HIZI SIYO HARAKATI NI AJENDA ZA KUVURUGA NCHI 📌 Hakuna jinsi unaweza elezea watu kuwa ni sahihi kufanya maandamano tena ya kisiasa siku ya sherehe muhimu kama Krismasi...
1 Reactions
61 Replies
2K Views
Leo nimewasikiliza hawa Wamachinga wa Dar na mmoja wao anasema ni bora tupoteze uhai lakini tulitibu taifa. Naona hata hawa tujumuishwe kwenye kundi la Wasanii, kususia biashara zao, twende...
1 Reactions
4 Replies
220 Views
Sina miaka mingi ya KUZALIWA, ila NIMEYAONA MENGI kidogo Je wewe msomaji ulisoma Uzi WA tafsiri yangu ya picha ya Samia na warioba, uku warioba akiwa ameweka MIKONO yake kwenye makalio yake...
1 Reactions
13 Replies
509 Views
Pamoja na yaliyotokea Mungu atuepushie. Ingawa hawa walio kwenye orodha waliingia baada ya damu za binadam kumwagikanhuko zamani Wanasiasa wasitupeleke huku
0 Reactions
0 Replies
148 Views
Miaka nenda miaka rudi CHADEMA imekuwa ikibagazwa kwa kila staili lakini sijawahi kusikia kuwa mtu yeyote akitishiwa kuuawa au kuteswa kwa namna yoyote ile na watu wa CHADEMA. Lakini ni jambo la...
0 Reactions
9 Replies
227 Views
Maajabu ya Samia hayo! Kwamba eti alipata kura zaidi ya milioni 31. Ambazo eti ni 97.6% ya kura zilizopigwa. Ila cha ajabu, akajiapisha uani na kuwanyima fursa hao wapiga kura wake milioni 31...
57 Reactions
166 Replies
4K Views
Habari wana jamvi, huwa siandiki kuhusu siasa humu JF, Mara nyingi utanikuta MMU tu, anyway that's not a story. Story ni hili la kujifunza baada ya mambo yote yaliotokea tangu October 29 mwaka huu...
7 Reactions
11 Replies
395 Views
Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linavunjwa rasmi leo Juni 27, 2025 na Rais Samia Suluhu Hassan, ambaye pia anatarajiwa kulitunuku hotuba ya mwisho. Moja ya mafanikio makubwa ya...
3 Reactions
5 Replies
941 Views
Watanzania wametakiwa kuwakataa wale wote wanaohamasisha au kuunga mkono mikakati inayolenga kuingiza nchi kwenye machafuko, vurugu au migawanyiko ya kisiasa. Hayo yamebainishwa na kijana...
0 Reactions
5 Replies
214 Views
Wakuu Wajasiliamali wa kada mbalimbali kutoka wilaya zote tano za Jiji la Dar es Salaam wamezungumza na waandishi wa habari leo, Desemba 24, kuhusu msimamo wao juu ya maandamano nchini...
0 Reactions
5 Replies
164 Views
WATANZANIA EBU TUELEWE KUHUSU HAYA MAKUNDI MATATU -MWANASIASA, MZALENDO NA MWANANCHI WA KAWAIDA. Tutaanza na kuangalia hizi dhana tatu. 1. Mwanasiasa ni nani ? 2. Mzalendo ni nani ? 3. Na...
0 Reactions
13 Replies
279 Views
Jeshi la polisi mkoani Tabora limewahakikishia wananchi ulinzi na usalama katika sherehe za Krisimasi na Mwakampya.. Akizungumza na Waandishi wa habari leo Disemba 24, 2025 Kamanda wa polisi mkoa...
0 Reactions
0 Replies
161 Views
Kaimu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kusini, Belchomas Ponera, ameeleza kusikitishwa kwake na kiwango kikubwa cha makato na tozo mbalimbali zinazokatwa kwa...
1 Reactions
6 Replies
291 Views
Kwanza tueleze hao mabeberu ni kina nani na ili uwe beberu unatakiwa uwe na sifa zipi? Tusaidie kujua jinsi nchi yetu ilivyo na uongozi Kamili inavyoweza kuhujumiwa na hao mabeberu Tupe mifano...
26 Reactions
230 Replies
3K Views
Back
Top Bottom