Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wajumbe. Ubinadamu kazi. Na kila mwanadamu anapita njia nyingi sana katika makuzi yake. Ipo dhana moja muhimu sana. Dhana ya utimamu wa kihisia. Hisia za mwanadamu huwa na athari chanya au hasi...
1 Reactions
1 Replies
133 Views
Inamaana jf bado imefungiwa na haijui nani ameendeleza kufungia kwani data zinaonesha ni nani kama sio mamlaka haramu isiyo heshimu haki za watu. Hali hii sio solution na haivumiliki nchi...
5 Reactions
22 Replies
468 Views
Sijui nani huwa anawaelekeza kitu cha kujadili maana huwa naona wanashambulia mtu badala ya kujibu mada husika. Kipindi tunajadili issues za TEC na maandamano walileta mashehe kuwashambulia...
11 Reactions
22 Replies
439 Views
Kwenye mahojiano na Jamhuri TV, Jaji Mstaafu Joseph Warioba amesema kuwa Serikali ikubali imechangia sana kwenye hali iliyotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu, kwani matukio hayo yalifanywa na Serikali...
37 Reactions
70 Replies
3K Views
Mzee warioba amecheza kama Messi, Rais anatafuta watu apige nao picha ilikuonesha anaumoja sasa huyu mzee baada yakutoka pale amepiga mawe bora asingemuita. Sasa amuite na Lissu aje kumshona...
3 Reactions
9 Replies
241 Views
Nimefika hapa chato nikaona kagest chakavu kameandikwa Magufuli lodge, yaani nmeingia ndani naambiwa ni kakwake, ka enzi akiwa mwalimu. Nikauliza huduma ya kulala naambiwa Kako kwa Ajili ya shoo...
10 Reactions
24 Replies
864 Views
Mamlaka yenyewe mnaijua. Inadhibiti maudhui yenu kwa kila hali. Inawaongoza cha kuandika na kusema. Leo hii mimi nilikuwa sio wa kuacha kutazama taarifa ya habari saa 2 usiku kwenye ile...
18 Reactions
21 Replies
749 Views
wassup ma-niggas mlioko kwenye hili jukwaa! Inabidi sasa tuongee lugha moja maana hii straight-up fuckery inazidi kimo. Tunakaa kimya mnadhani sisi ni dead bodies? Mnatuona kama sisi ni lame-ass...
1 Reactions
0 Replies
154 Views
Wakuu mmesikia huko? John Heche rasmi ametangaza kumuunga mkono Tundu Lissu na atagombea Umakamu Mwenyekiti wa Chama. Heche ameongeza "Mimi Mbowe kwangu ni Baba wa Kisiasa, amenilea na hamheshimu...
30 Reactions
161 Replies
9K Views
KUTOKA kwa Hilda Newton Baada ya kuona watu wamegoma kwenda kutoa maoni sasa wameanza kufuata watu inbox. Mnataka watu waje kutoa maoni ili mumsaidie Idd Amin Mama kujua mashaidi ambao anajua...
1 Reactions
0 Replies
183 Views
Huyu ni descendant wa waarabu. Gene ya ukatili ipo, imejishihirisha sasa.. kilichofabnyika 29 ni version ya ukatili wa utumwa walivyokuwa wanawafunga minyororo shingoni, leo kwa vile kuna risasi...
14 Reactions
22 Replies
527 Views
Kuna vyama nchini vinatumwa na mabeberu kuharibu amani ya Tanzania yetu, wanahangaika kwa mabeberu mpaka wameitwa masokwe lakini bado. Mfano; Hiki chama cha Chadema ndicho chama cha vurugu...
2 Reactions
37 Replies
551 Views
Nimepokea messages kwa namba zote ninazotumia Wanataka nitoe/tutoe maelezo au ushauri, juu ya kilichotokea kabla, wakati na baada ya uchaguzi, kuisaidia tume. Sina tatizo na massages hizo...
13 Reactions
27 Replies
811 Views
https://youtu.be/r7Q3c52fIOw?si=vKArWlvV0I3OjLJa Huyu mama na watu wake are so pathetic na wana mioyo migumu kama mawe.... Hawataki kuwajibika kwa makosa yao yaliyosababishwa na ujinga na...
19 Reactions
54 Replies
2K Views
Naanzia Novemba 2025 naona wengi akaunti zimenuna. Wengi tunafahamu kuwa vyombo vya ulinzi na usalama wamelipwa na wanaongezewa na incentives lukuki. Safari hii, nchi imeshikwa pabaya maana...
1 Reactions
3 Replies
179 Views
DeletedMember281674
Wanabodi, Mliokaribu na Mh. Rais Dr. Samia Suluhu Hassan kipenzi cha watanzania wenye nia Njema na Taifa tunayempenda, Tunaomba kwa heshima na tahadhima tuweze kupata salamu kutoka kwake za Kheri...
1 Reactions
6 Replies
301 Views
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amewasilisha ujumbe maalum wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa...
1 Reactions
22 Replies
637 Views
Kwa mtazamo wangu. Huyu binti anachoangalia ni pesa anayopata bila kujali njia anayotumia kuzipata. Asha Rose Migiro miongoni mwa waanzilishi wa Tanzania Gender Network Program (TGNP) akaja...
1 Reactions
4 Replies
264 Views
1. Wananchi wangapi walipelekwa hospitali kupata matibabu kwa majeraha ya risasi? 2. Wananchi wangapi walikufa kwa risasi? 3. Miili ya wananchi wangapi walipewa ndugu zao? 4. Miili ya wananchi...
16 Reactions
38 Replies
2K Views
Huyu Muhuni aliyezeeka anaonekana kuna vitu vingi yuko behind na ndo mpishi wa haya yote amekosa maadili ya Uongozi na Uzee wake inatakiwa akamatwe mara moja kwa vitendo vyake vya kihuni. Juzi...
-5 Reactions
108 Replies
3K Views
Back
Top Bottom