Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katika kusheherekea sikuu ya X-Mass hivi ndivyo alivyoandika katika ukurasa wake wa X zamani Tweeter Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Ubia nchini kati ya Sekta ya Umma(Serikali ) na Sekta...
2 Reactions
13 Replies
304 Views
Maono mafupi kimo cha mbilikimo ni jambo hatari sana.. Maono ya kuona mwisho wa macho yako ambayo ni sawa na sekunde 15 mbele! Hakuna mmea hatari majini kama gugumaji.. Kuliangamiza hili gugu...
35 Reactions
44 Replies
2K Views
Miaka takribani kumi Watanzania waliwaamini sana Wapinzani wakiamini ndio watetezi wao. Watanzania wamejua kuwa madhila ya October 29 yalisababishwa na wapinzani wenye uchu wa madaraka na si CCM...
2 Reactions
24 Replies
323 Views
Mpaka Leo ccm haijasema vijana waliuwa vijana wenzetu wangapi Wasije na maneno matupu TU ya kukanusha maneno ya Warioba. Waje na takwimu halisi za vijana waliowaua tarehe 29 na zile za vijana...
6 Reactions
18 Replies
377 Views
Wakati Wakristo wanaitwa kuheshimu mamlaka kwa sababu mamlaka zinatoka kwa Mungu, tamko hilo halihusu kwa watawala wote, bali watawala wale wasiotenda kinyume na mapenzi ya Mungu. Yaani watawala...
2 Reactions
5 Replies
189 Views
Wanabodi Huu ni wito kwa viongozi wetu wa dini,waepuke lugha za vijiweni wawapo mimbarini!...
36 Reactions
302 Replies
15K Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete Amehitimisha na Kufunga Kampeni za Mheshimiwa Wanu Hafidhi kwa kishindo kikuu kilichoitetemesha Zanzibar...
0 Reactions
26 Replies
819 Views
Huyu mama yenu sijui ana hofu ya nini? Yani kuna police wametumwa Mwanza kwenda kuongeza nguvu kwenye siku ya tamati ya kampeni za mgombea urais wa CCM. Kama sio kuchezea pesa za umma ni nini...
5 Reactions
32 Replies
2K Views
Siku hizi Rais Samia anaenda Ikulu ya Chamwino iliyopi Dodoma mara moja kama kupokea wageni na kurudi zake siku hiyohiyo Ikulu ndogo Tunguu iliyopo Zanzibar. Zamani sio sana tulikuwa na Ikulu...
5 Reactions
14 Replies
447 Views
Watu tumekengeuka tumesahau maandishi na maagizo ya Mungu juu ya hatima ya uhai wetu, yote hii ni kwasababu tumekosa wahubiri/watumishi wa Mungu ambao wanayaishi maagizo ya Mungu. Ambayo wapo...
1 Reactions
13 Replies
194 Views
Achana na rekodi zote za nyuma.. Chukua za hivi karibuni Uchaguzi wa mwenyekiti wa chama.. Mijadala kabla, askari na baada ya uchaguzi Kampeni ya NO REFORMS NO ELECTION.. ilipozinduliwa, mikutano...
15 Reactions
44 Replies
2K Views
Wakuu baada ya Jaji Warioba kueleza kuwa watu waliofariki Oktoba wakati wa maandamano ni wengi kuliko waliofariki kwenye vita ya Kagera Mchungaji Daudi Mashimo ameibuka na kohoji ni wapi Jaji...
2 Reactions
78 Replies
2K Views
Rafiki yangu mpendwa na kiongozi wangu wa chama, Mheshimiwa Tundu Lissu, Amani ya Bwana wetu Yesu Kristo iwe pamoja nawe! Kwanza kabisa, nikupe pole sana kwa safari ndefu ya magumu ambayo...
3 Reactions
2 Replies
270 Views
DeletedMember281674
Huyu mwamba mwenye dhamana ya Wizara yenu hatanii na Wala hataniwi, ni Bora mkafikiria kwenda kuishi nje ya nchi kama bado mnapenda kuendelea kupumua katika hii Dunia kabla hamjaaimbiwa parapanda...
4 Reactions
53 Replies
1K Views
Masheikh wa BAKWATA wamekuwa hawajali kwa kina maslahi ya waislamu nchini. Wao wamekuwa kama rear guards wa kulinda mfumo, kutetea serikali, kuwalaza waislamu usingizi pindi joto la haki nchini...
18 Reactions
58 Replies
4K Views
Wakuu wa Vyombo vya dola IGP, CDF na DG TISS wanastahili kupata nishani ya juu kabisa ya Mlima Kilimanjaro kwa kuwa walifanikiwa kudhibiti mapinduzi ambayo yalianzishwa na magenge ya wahuni tarehe...
5 Reactions
66 Replies
1K Views
Zamani magroup ya uko tulikuwa tunazungumzia mambo ya kifamilia,kama misiba,harusi na mengineyo, lakini sasa hivi mjadala mkubwa ni Siasa na wengi hawampendi Mama
10 Reactions
33 Replies
716 Views
Mimi ni miongoni mwa watu naopinga sana madalali kutaka kulipwa kodi ya mwezi mmoja kwani ni kuumiza wapangaji kwa kuwaongezea gharama za maisha. Kibaya zaidi, wako wenye nyumba hawapangishi mtu...
13 Reactions
132 Replies
8K Views
Mwaka 2001 baada ya Dhalimu Mkapa kufanya ukatili wa kutisha dhidi ya nchi ya Zanzibar alichomoka kupitia MUAFAKA I. Mwaka 2001 ilikuwa ni rahisi kuficha maovu na ukatili nchini Zanzibari...
59 Reactions
46 Replies
2K Views
Wanabodi, Declaration of Interest Mimi ni Mkristo Mkatoliki, tena sio Mkatoliki mlei tuu wa kawaida, ni miongoni mwa wale walei Wakatoliki wacheche tuliobahatika kwenda kuhiji Israel, na waliofika...
62 Reactions
616 Replies
36K Views
Back
Top Bottom