Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jana nilisikia space ya Maria , insta live ya Nuru vazi na za TikTok nasikilizaga. Nikichogundua kuwa wako very disorganized yaani hakuna kiongozi watu wanaongea hovyo mpaka wengine wanagombana...
3 Reactions
42 Replies
2K Views
Kutoka mtandaoni bongo zozo amepost video ya pole pole aliyetekwa na watu watu wanaozaniwa ni polisi akiandika na maneno mafupi. "Sikukuu tukumbuke waliopotezwa. Tukae tufikiria inakuwaje watu...
2 Reactions
9 Replies
205 Views
Hali ya jiji ni shwari kabisa watu wako busy na kufurahia moja ya Siku kuu kubwa Duniani yaani X-mass hakika Tanzania itaendelea kuwa mfano wa nchi ya amani. Hii pia ni aibu nyingine kwa...
5 Reactions
47 Replies
896 Views
Nimeona humu jukwaani na huko mitandaoni, machawa pro max wa wauaji wakipambania kampuni yao ya mauaji (CCeM). Wapo maprofesa uchwara, wanahabari, watu maarufu na viongozi. Machawa wa humu...
6 Reactions
47 Replies
937 Views
Muandishi wa Habari Zungu ametoa maoni yake kuhusu kauli alizozitoa jana Mzee Warioba akidai alipaswa kutozungumza hadhari maana inaleta taharuki kwa jamii Ambapo amesema kama idadi ya vifo basi...
2 Reactions
70 Replies
2K Views
Mara kadhaa nimekuwa nikisikia baadhi ya watu wakisema kuwa enzi za Mwalimu Nyerere akiwa Rais watu "wengi" Sana waliuawa au kupotezwa. Sasa kabla ya waliofanya kazi na Nyerere wote kufa, ni Bora...
8 Reactions
90 Replies
2K Views
Kuna mlengo fulani wa kupigania Tanganyika huku ikionwa Zanzibar inainyonya Tanganyika Watu hawa Wana ajenda fiche ya udini wakiona kuwa kuikomboa Tanganyika dhidi ya Zanzibar ni kuwatoa waislam...
10 Reactions
218 Replies
2K Views
Msije mkafikiri kuwa hizi ni picha za chumba cha mtihani wa elimu ya watu wazima hapana. Hawa ni watu wazima kimwili na kiakili wamekutana kujadili masuala ya nchi yao. Mimi huwa siamini kama...
20 Reactions
50 Replies
2K Views
Wakuu, Huyu Mzee anawasha moto kwa Gen Z, hii kauli ya kusema tunashawishiwa na mabeberu wanaikamia sana Hivi ni kweli vijana hatujui tunataka nini? Nani alisema tunataka kuiwasha moto Tanzania...
1 Reactions
13 Replies
313 Views
Nimeangalia kwa makini kampeni za CCM ,naona kinachoendelea ni matamasha tu ! Kama vile fiesta au festival ya wasafi . Unafanyaje kampeni bila kuwa na mshindani ? CCM wanawinda mnyama Ambae...
5 Reactions
16 Replies
921 Views
CHADEMA wasiposema ni hatua na wakisema ni hatua. Wakikamatwa ni hatua na wakiachiwa ni hatua pia. Wakizuiwa kufanya siasa kimazabe ni hatua na wakiruhusiwa kufanya siasa ni hatua. CHADEMA...
19 Reactions
59 Replies
871 Views
Wanabodi, Tumsifu Yesu Kristo. Declaration of Interest Mimi ni Mkristo Mkatoliki die hard, yaani wale Wakatoliki ambao wamezaliwa Wakatoliki, na kupokea zile sakramenti 4 za Katoliki, yaani...
20 Reactions
245 Replies
14K Views
Ni taarifa kutoka Tanzania Leaks, lakini tusiipuuze. Hawa wanaojiita GenZ japo ni vibaka au panya road wanaweza kufanya lolote.
0 Reactions
23 Replies
702 Views
Nimeshuhudia Viongozi vya Katoliki wakikimbilia kwenye mimbali za KKKT krismas hii huko Roma kumekuwa kugumu awamu hii. Muwe na krismas njema
1 Reactions
9 Replies
304 Views
Mwaona! Nchi yaenda kama dege lisilo na rubani. Heheheee! Kama mazuri na bado sijacheka. Hutuba zako hakuna wakusikiliza na walahi Kila ukijitokeza utazua taharuki. Mayii! Watu hawakupendi na...
9 Reactions
34 Replies
1K Views
Kama kuna mtu yeyote anayo taarifa za muendelezo wa taarifa za huyu mwanajeshi wa Marekani. Zimepita siku nyingi sasa, amefikishwa mahakamani? Amefunguliwa mashataka yapi? Ameachiliwa? Mbona...
4 Reactions
9 Replies
344 Views
Kuna ujinga mkubwa sana unafanywa na ccm kwa kutumia kodi zetu kutaka kukidhoofidha na kukiua kabisa CHADEMA Hawa waliobuni hii project sijui ni akina nani huko ccm Hivi kweli mpaka Leo ccm...
36 Reactions
74 Replies
3K Views
Aliyekuwa mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Odero Charles Odero, amewataka viongozi wa kisiasa nchini kutumia kauli zinazojenga umoja, faraja na...
1 Reactions
1 Replies
197 Views
  • Closed
Binafsi naamini huu ni mkakati wa kudhoofisha sauti za wengi: 
Kupanga maandamano siku ambayo ni sikukuu muhimu zaidi ya kidini ni mbinu ya kulipasua kundi la wanaodai mabadiliko, kuwapunguzia...
20 Reactions
247 Replies
4K Views
Anaandika Wakili Peter Madeleka kwenye ukurasa wake wa X: Itakavyokuwa Ikiwa watu wataendelea KUGOMA kupeleka USHAHIDI kwa TUME; basi TUME itakuja na RIPOTI kwamba; “HAKUNA USHAHIDI WA WATU...
1 Reactions
25 Replies
640 Views
Back
Top Bottom