Ni kero kubwa kwa wasafiri kutoka Arusha kwenda Moshi. Latra wameruhusu wamiliki wa bus za abiria kuumiza wananchi kwa kupandisha nauli maradufu.
Tumezoea tukipanda bus kubwa kutoka Arusha kwenda...
Mkuu wa Wilaya ya Gairo Japhari Kubecha akiwa njiani Kuwafikia wananchi wa tarafa ya Nongwe kata ya Mandege ili kuwasikiliza kero zao na kuzipatia utatuzi.
MY TAKE;
Sikuona sababu ya kusema...
Hii ni link ya audio video ya GeZ wakijadiliana namna ya kulianzisha tena pengine kabla hata 25/12 na kuendelea....
https://youtu.be/oLG8oqkpG5c?si=8NzhnwgIimcza0Es
Kinachopangwa na kujadiliwa ni...
Ni tukio la dakika tano.
Kuna raia amegongwa kama sio na polisi waliopo doriaa hapo majani ya chai itakuwa ni Jeshi maana wote wapo eneo la tukio na wanauzoa mwili na kufuta futa damu Ili...
Wametuma machawa kibao huku mitandaoni ambao maskini hawajui wanapigania nini yani mbumbumbu kabisa hawana madhara.
Yaani uuwe maelfu ya watu alafu bado utuletee hawa ni kuchochea moto zaidi...
Makamanda Shimboni!
Nawauliza Mmefikia wapi maandalizi ya D25? Baada ya think tank yenu Mange kuwaacha kwenye Mataa?
Hakika mnatapatapa kweli kweli hamna uelekeo na jinsi kulivyo huku nje sioni...
Watanzania wakiingia mitaani na kuandamana kuwa huu utawala haufaina utakiwa kuondolewa kwa nguvu za umma Wanatumia majeshi kuwamaliza.
Mtu kama Angela Kiziga alifanya ufisadi ambao ni ni dharau...
Hakuna watu walitikisa ccm kama Tanzanian Youth Democracy Movement, wengi wenu mlikua bado hamjazaliwa, tujikumbushe kidogo ni wakina nan hawa
kikundi hiki kilikua na wanachama Moussa Membar...
Huu ndio ukweli wa mambo. Wananchi hawamtaki rais Samia.
Mbaya zaidi hata ndani ya CCM inaonekana hawamtaki.
Watu wameanza kuingia barabarani na kuanza kuleta ghasia hata matokeo hayajatoka...
"Tungeweza kusema ujio wa Yesu Kristo umeondoa kila aina ya dhuluma, uwe umeondoa kabisa hali ya uonevu, uwe umeondoa kabisa hali ya kutojali utu, uwe umeondoa mauwaji au kuuawa kusipokuwa na...
Watanzania wanaishi katika maigizo makubwa kuliko “Tausi,” “Siri za Familia,” “Jumba la Dhahabu,” na “Bongo Movie” zote zilizowahi kutengenezwa. Maigizo ambayo kila mtu anajifanya haoni, ilhali...
Hamjambo wote!
1. Kutokuvuja kwa Siri za serikali hasa vikao vya ndani vya wakuu wa nchi ni kiashiria pekee ambacho kinaonyesha bado serikali inanguvu na haijapasuka.
2. Siku zote nasemaga adui...
Zamani mtumishi wa Mungu akiongea unaona kabisa Mungu ameongea🤣
Ila sahz mtumishi wa Mungu anaongea unaona kabisa ni uongo na anapingwa kwa hoja na unaona kabisa hoja zinazompinga mtumishi wa...
Samia Suluhu kutoka CCM atangazwa kushinda kwa asilimia 97.66% ya kura 31,913,866
Kwa mujibu wa Tume, jumla ya wapiga kura walioandikishwa ni milioni 37,655,559; Waliopiga kura ni milioni...
Kuna taarifa zisizo rasmi kuwa Kuna wahuni wanapanga kwenda kufanya fujo kanisani hasa RC
Watu hao watabeba siraha kwenye mabegi lengo ni kuchafua kanisa lionekane ni kanisa la wahuni na...
Jana nilisikia space ya Maria , insta live ya Nuru vazi na za TikTok nasikilizaga.
Nikichogundua kuwa wako very disorganized yaani hakuna kiongozi watu wanaongea hovyo mpaka wengine wanagombana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.