Hivi ni vishindo vya wakoma waliokuwa wanadhani haiwezekani
Tuko chini ya masaa 72 kuelekea kilele cha D9.. Hakuna mjadala mwingine wowote unaowavutia Watanganyika zaidi ya D9.. Iwe mitandaoni au...
MANGE KIMAMBI NA MARIA SARUNGI WAMEHUSIKA KUHUJUMU MAANDAMANO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
1. Kukosa Uongozi wa Kitaalamu na Kimaadili
Watu wenye tabia ya kuropoka au kutumia lugha ya...
Mkwamo wa Tanzania tangu kuanzishwa kwake umetokana na sababu kuu mbili.
1. Kuwapa kipaumbele zaidi wajinga na ujinga kuliko akili na wenye akili.
2. Rushwa na Ubinafsi.
Kuhusu kuwapa...
Hivi kufungiwa kwa jizi lililokuwa linaiba nauliza za vivuko, linaiba Hela ya matengenezo, ya vivuko, kila siku linaelekeza vivuko vialubiwe Ili liombe malipo hewa Bado tuna liacha Muda wote tangu...
Hivi kipaumbele cha nchi ni kipi?
ni Afya?
ni Elimu?
ni nini hasa?
Mwanza unashuka kwenye Feli kutoka ziwa viktoria tayari upo katikati ya jjiji!
Mwanza wanalia mgao wa maji?
Sio siri jamani...
Jaji Mkuu George Masaju, Desemba 23, 2025, akiwa Mbeya amesema kuwa kuanzia mwezi Februari 2026 Kanda za Mwanza, Mbeya, Arusha na Dar es Salaam zitakuwa na majopo ya majaji 4 kila moja (Dar...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Pwani kimewateua Baraka Mussa Nandonde kukaimu nafasi ya aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Kanda hiyo, na Isaya Mwita kushika nafasi ya mweka...
https://youtu.be/U0T6jMA9XsM?si=nOnYxm9we8_HIlOO
IN BRIEF NOTE, YALIYOSEMWA KTK UCHAMBUZI HUU:
1. Jaji mstaafu ni credible source. Wakati akiwa serikali alikuwa mtu wa pili (VP) ktk chain of...
🚨 TANZANIA: U.S. BUSINESS LEADER WITHDRAWS FROM AMERICAN CHAMBER IN TANZANIA AMID ESCALATING HUMAN RIGHTS CRISIS AND NEW TRAVEL RESTRICTIONS
In a dramatic escalation of tensions between the...
Umoja wa Mataifa, UN, imetoa tamko linaloweka sawa msimamo wa Umoja huo kwa yale mauaji yaliyotokea Oktoba 29.
Kwanza wanasema uchaguzi ulikuwa na walakin.
UN imetamka wazi kuwa mauaji...
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani Boniface Jacob, amesema kuwa katika suala la kutafuta maridhiano ya kisiasa nchini, aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Jaji Joseph Warioba ni mojawapo...
Nauliza uko kwenu mpo wangapi mawaziri mliotoka Zanzibar?
Kweli Kanda ya ziwa ina huyo Patrobasi Katambi alafu ina yule kada mtiifu wa Ibrahimu Lipumba yaani Bashiru Kakulu kama Mbunge na waziri...
Kuna propaganda za kijinga sana zinaendelea kupitia mitandao ya kijamii ambazo kimsingi waandaaji wanajiona ni wajanja sanaaa kumbe wapo nyuma ya wakati.
Propaganda hizi zinalenga kuamsha hasira...
kwenye hotuba ya ndugu samia hajasema #D9 kuna maandamano bali ameongelea maandamano siku ya Christmas na kuruka #D9
Kwa kifupi anaogopa balaa amechanganyikiwa na upinzani wa gen z
https://youtu.be/OmrvErw90Fc?feature=shared
Haina shaka kuwa wasingekuwa kwenye wakati mgumu wa msongo wa mawazo na kuchanganyikiwa wanaupitia sasa huku wengine wakianza kupatwa na ukichaa...
Askofu Mkuu wa Kanisa la Menonnite Tanzania, Dkt. Nelson Kisale, amesema hofu inayotawala mioyo ya watu sasa ni zao la matendo yetu hata kutufikisha Kwenye yaliyotokea Oktoba 29 na siku...
Kabla ya October 29, 2015 watawala haramu walikuwa na kauli za kuwadhalilisha wananchi wa nchi hii. Hadi vimkuu vya wilaya vilikuwa na majivuno na kauli za kuwakejeli wananchi. Mara ooh kama hujui...
Kiala mtanzania amewakataa na wanatapatapa.
Kila njia wanayotumia ili kujinusuru inakataa.
Walitumia pesa ili wakubalike lakini ikashindikana.
Sasa wanahangaika kudhania watapata huruma kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.